Boris Johnson ajibu vijembe vya mtangazaji wa TV Russia kwa kusema "kama Putin angekuwa mwanamke vita isingetokea

Putin Amejibu..."Kama suala ni mwanamke, aliyewah kua waziri Mkuu uingereza Magreth Thatcher asingeanzisha Vita dhidi ya Argentina kuchukua Visiwa vya Falkland .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…