Boris Johnson: Wakati mwingine Kwenye majanga kama ya Covid-19 ni Heri kutumia common sense

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni Heri kutumia common sense kama yule Rais fulani wa Africa aliyesimama Imara na kuiponya Jamii yake

Johnson alikuwa akijibu Swali la Jaji huko UK

Sijajua huyo Rais wa Africa anayempongeza ni nani!

Maandalizi Mema ya Sabato πŸ˜€
---
Boris Johnson says more "common sense" should be used at future COVID inquiries
Boris Johnson says more "common sense" should be used at future COVID inquiries

CNN's Kim Brunhuber speak to Kit Yates, Co-Director of the Centre for Mathematical Biology at the University of Bath, about Boris Johnson's appearance at the UK COVID inquiry.
 
Ni Heri kutumia common sense kama yule Rais fulani wa Africa aliyesimama Imara na kuiponya Jamii yake

Johnson alikuwa akijibu Swali la Jaji huko UK

Sijajua huyo Rais wa Africa anayempongeza ni nani!

Maandalizi Mema ya Sabato πŸ˜€
Source please maana nyie watu wa yule Shujaa wenu Huwa ni matapeli sana
 
Unfortunately common sense isn't common to all
 
Raisi John
 
Mkuu mbona hakuna sehemu ya interview alipozungumzia kuhusu rais wa Afrika?
Hii sehemu umeongeza wewe mwenyewe.
Ila magufuli alicheza kama pele hata mimi nilikuwa maona anazingua tutakwisha ila jamaa angekuwa kenya wangesema amekacheza
 
Yule mjinga aliyekufa na hiyo COVID-19 na akawaponza na wasaidizi wake wa karibu. Johnson siyo mpumbavu kumtolea mfano mzuri yule mshamba wenu ni kwamba uwezo wako wa kuelewa ni mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…