Boris Johnson: Wakati mwingine Kwenye majanga kama ya Covid-19 ni Heri kutumia common sense

Boris Johnson: Wakati mwingine Kwenye majanga kama ya Covid-19 ni Heri kutumia common sense

Kwa uingereza ngumu ,kwasababu kuficha takwimu za waliokufa ngumu sana

Japo chanzo habari hakijulikani
 
..Kwenye corona Jpm alikuwa pinga'pinga.

..matokeo yake ikamuondoa yeye na marafiki zake.

..mtu anatumia pacemaker halafu tunacheza na corona kiasi kile na nyinyi mashabiki wake mnasema ile ilikuwa commonsense!?
Wajinga wachache hamuwezi kuona ukweli

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom