Boris Johnson: Wakati mwingine Kwenye majanga kama ya Covid-19 ni Heri kutumia common sense

Ni wapi kamsifu kiongozi wa Afrika?

Johnson yupo matatizoni kwasababu alichelewa kuchukua hatua za lockdown na matokeo yake watu wengi walikufa.

Sasa shujaa wako si alikataa lockdown? Na TZ hata waliokufa hatuwajui.

Common sense hapo ni kufuata science na ku ignore mengine yote
 
Itakua ni yule Andy Rajoelina wa Madagascar ambaye Kabudi alituambia anagawa ile juice mwenyewe mtaani.

Kabudi akatuambia hii dawa inaenda kufanyiwa utafiti kwanza ndio iingie mtaani ila akaishia kunywa yeye na kina jiwe.

Ripoti ya utafiti hadi leo haijulikani na walifuataje dawa ambayo haina utafiti.

CCM utapeli hamjaanza jana wala leo.
 
Yohana mbatizaji mbona kama hayo maneno ya "kama yule rais fulani" umeyaongezea wewe?🙄
 
Haya maneno ya Kiswahili umeyatoa kwenye hayo maneno ya kiingereza hapo chini? Au umetoa kichwani kwako?
 
..yule alikuwa hatumii common sense hata kidogo.

..alikuwa wanapinga hata matumizi ya barakoa.

..Na matokeo yake hayakuwa mazuri.

..Boris anasema hivyo kwasababu yuko hai.
Yule alikuwa mvuta bange
 
..yule alikuwa hatumii common sense hata kidogo.

..alikuwa wanapinga hata matumizi ya barakoa.

..Na matokeo yake hayakuwa mazuri.

..Boris anasema hivyo kwasababu yuko hai.
ndio tafsiri ya common sense.

umeshaambiwa virus wa corona anazuiwa na mask level hii kwa bei hii,na wataalam tena ivaliwe masaa kadhaa tu inadilishwe.

akili za phd zenu wasomi,zinawaambia serikali iagize maskza kutosha😆😆,common sense inaona hizi ni biashara za watu zinafanyika katikati ya janga.
 
Kabudi alituambie ile dawa ya mitishamba na ya thamani kiasi kwamba inagaiwa na Rais mwenyewe huko Madagascar [emoji1787]
 
Utaumiza kichwa mkuu…

JPM was ahead of time…hizi nyumbu ziache km zilivyo hatuna pakuwapeleka ndio ndugu zetu wapo ili changamoto za maendeleo ziendelee kutusulubu
 
Utaumiza kichwa mkuu…

JPM was ahead of time…hizi nyumbu ziache km zilivyo hatuna pakuwapeleka ndio ndugu zetu wapo ili changamoto za maendeleo ziendelee kutusulubu
Mdee: Magufuli aliliokoa Taifa kwa kukataa lockdown

😂😂😂😂
 
Sumu haionjwi heti kwasababu unatumia common sense. Na Boris Johnson hawezi kuyasema hayo unayotwambia, labda utuambie tu shida yako nini kuleta mada kama hii.
 
..Kwenye corona Jpm alikuwa pinga'pinga.

..matokeo yake ikamuondoa yeye na marafiki zake.

..mtu anatumia pacemaker halafu tunacheza na corona kiasi kile na nyinyi mashabiki wake mnasema ile ilikuwa commonsense!?
 
imagine akili hizi umeoa au unatarajia kuoa,kuna mtu anakuita mumewe,au baba yake.
 
imagine akili hizi umeoa au unatarajia kuoa,kuna mtu anakuita mumewe,au baba yake.

..imeshindwa kujibu hoja yangu umebaki kunishambulia binafsi.

..hivi kwa maoni yako mtu mwenye pacemaker alitakiwa kucheza na corona kama alivyokuwa akifanya Magufuli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…