uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Kuna vikampuni vingine hao wasimamizi ni waajabu sana, wadokozi sasa wakijua unafahamiana na Owner unakuwa threat kwao.Owner ndiyo Mmiliki! Nimewaza kijasusi lakini,sasa Boss anataka kucheza na mali ya Owner!!
Ndio maana unaundiwa zengwe utolewe.