Bosi alinisimamisha kazi bila sababu yoyote. Leo anamwambia mwenye kampuni kwamba nina matatizo ya kifamilia

Bosi alinisimamisha kazi bila sababu yoyote. Leo anamwambia mwenye kampuni kwamba nina matatizo ya kifamilia

Owner ndiyo Mmiliki! Nimewaza kijasusi lakini,sasa Boss anataka kucheza na mali ya Owner!!
Kuna vikampuni vingine hao wasimamizi ni waajabu sana, wadokozi sasa wakijua unafahamiana na Owner unakuwa threat kwao.

Ndio maana unaundiwa zengwe utolewe.
 
Boss amekuwa kibosile 😂

Hali hii ndio naipitia kwa sasa, maboss rangi nyeusi wanakuwa na roho mbaya sana aisee
 
Hata kutongoza mwenyewe hajui, kila weekend anauliza sasa weekend inakuwaje?
Mabos huwa wanapata tabu sana wakikutana na pisi inayohiyaji mtongozo walau mdogo ili itoe mchezo.

Wengi wamezoea ganda la ndizi 😂😂 kama alivotoa dem mmoja wa jf kwa boss wake.
 
Jtatu mapema sana tinga job tena ukiwa mupyaaa kama una kahela kanunue nguo ya maana kabisa uende mpyaaaaa boss ashinde anasonya.....
 
fitina wivu na unafki Ndo kilichojaa kwa wengi ona sasa kaumbuka
na hapo uwe makini sana maana atakutengenezea vijitu vya ajabu sababu ya kumshtakia kwa owner
 
Back
Top Bottom