Bosi huyu ataoa lini umri unaenda?

Inaama boss Ruge alikuwa amesha toa na mahari??? Haahahhaha.... This is a wonderful thing I have never seen...

Hapo ni sawa na kuweka pesa Fixed Deposits Accaunt.....
 
Inaama boss Ruge alikuwa amesha toa na mahari??? Haahahhaha.... This is a wonderful thing I have never seen...

Hapo ni sawa na kuweka pesa Fixed Deposits Accaunt.....
Nini kutoa mahari na alishasilimu kabisa
 
SASA KAMA RUGE ANASHNDWA KUOA, VIJANA WENGNE ITAKUWAJE? MANA VJANA WENG WANASINGZIA MAISHA MAGUMU.

HALAFU HUYU BOSS TAKUKURU IMMULIKE, ANATUMIA VBYA MADARAKA YAKE KUWAKULA WAFANYAKAZ WAKE
 
Ee amejua kujiongeza ameona hapa hakuna kinachoendelea akaona apite zake hivi ana akili sana yule dada kwanza ana damu ya kizungu basi tu...

Angebaki tu alee watoto wake na aliyezaa naye!

Yani udanganyweeeee...usijielewe,
Uzalishwe wa kwanza..bado uwe hujajielewa,
wa pili...ndo uje kujielewa!??

Only time will tell...

Angekuwa kaachana na Ruge kama mwaka hivi au kaachana tu kaamua kubaki mwenyewe ningemwita strong woman pia kwa hili...nachelea kumsifu kwanza...TIME!!!
 
Un Unasema hivo akae mwaka nzima VIP tamaa zake za kimwili angefanyeje?,Na huyo Boss wake angemuoa lini miaka inaenda tu
 
Mganga wake kampa masharti hilo ni moja wapo akioa anafirisika mwache apete na dada zako tu
 
Atare sana kuoa in sawa sawa na kuondoka disko SAA 2 uhondo wote wa ngoma unamwachia nani?
 
I agree
 
binti embe ni fina mango bwana makatuni ni masudi kipanya.....leo hii fina mango kaolewa na mzungu bwana makatuni bado yupoyupo tu kaamua kulamba matapishi yake
 
Kama wewe hujaolewa changamkia hiyo fursa!
 
Pole sana mkuu, hili ni funzo kwetu kina baba.. Tujenge utaratibu wa kuwajenga kwa kuwa karibu sana na mabinti zetu tuwape mapenzi kama wazazi ili wasibabaishwe kabisa!

Miaka 14 ni umri mdogo sana.
Bila kufanya hivyo hawa watoto watamalizwa, ..asilimia kubwa ya watu wazima wanaotembea na watoto wadogo ni waathirika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…