Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahuni sana toka nipo darasa la kwanza umeme wanakatakata sana
Bwawa la JNHP litamaliza Kila kitu
92% less leakages kwenye expansion jointsAmesema Shirika linaendelea kukamilisha utekelezaji wa Mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere litakalokuwa na uwezo wa kuzalisha Megawati 2115 ambao mpaka sasa umefikia 92%
Yah mkuu unafungua solar za tesla wqle wana solar zina life time guaranteeMtu ukiwa na uwezo ni bora kuwa na umeme mbadala tu...
Ukweli unauma sana wacha muumie tuTanzania na watanzania ni wamoja ACHA UBAGUZI MKUU!
Urais ni Taasisi na sio Mtu! MUACHE RAIS AFANYE KAZI YAKE.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Ukweli ukisemwa mnasema ni uchochezi sisifiagi ujinga kama nyieWeee jamaaa mchochezi
Sina upande mimi Mkuu!Ukweli unauma sana wacha muumie tu