Bosi mpya TANESCO Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga asema: Tunatarajia changamoto ya upungufu wa umeme imalizike Machi 2024

Kenge wewe
 
Mawazo yale yale ya kipuuzi tu. Samia kapambana mpaka pale bandarini kapatikana mwendeshaji mwingine zaidi ya TPA, na anapambana apatikane mwingine wa magati namba nane mpaka namba kumi na moja.

Samia anapambana na kukarabati bandari ya Mbamba Bay, akijenga maelfu ya kilomita za lami Tanzania nzima ingawa hayo yote huwezi kuyaona!.

Roho mbaya hudumu kwa muda mfupi tu na huisha kabisa baada ya kile kilichoisababisha kujitokeza hadharani na wema wa lengo lililokusudiwa linapoanza kubadili maisha ya watu ndipo huwa aibu ya muanzisha uzi kama huu.
 
Madudu yanayo Leta shida Yana anzishwa na watu wa Tanganyika wenzetu.
Huyo mama anashauriwa tu, na kwa vile anataka kuoneka ni kiongozi anaye shaurika anakubali mengi yafanyike alivyo shauriwa na watanganyika waovu kumbe Wana kuingiza mkenge, wanamuingiza chaka.
Hayo matozo si wameshauri akina Zungu na wana yasimamia akina Mwigulu?
Vurugu za kwenye nishati hasa mafuta na umeme si wamevurunda akina Januari wabara wenzetu.
 
Anapambana my foot? Kuuza bandari kwa mkataba wa kimangungo ni akili au ubwege?Ni lipi la maana kalifanya zaidi ya kuzurura tu huko duniani?
 
Hayo maelfu ya kilometa unayosemea yalikua ni maono ya mwendazake!! Huyo mama enu toka lini akawa na akili za kua na mawazo hayo?Tupishe bhana!!
 
Kila siku tunasema anashauriwa vibaya, mara anahujumiwa mara anaingizwa mkenge why always kwamba yeye hana akili kabisa hadi kila kitu aingizwe chaka??
 
Anapambana my foot? Kuuza bandari kwa mkataba wa kimangungo ni akili au ubwege?Ni lipi la maana kalifanya zaidi ya kuzurura tu huko duniani?
Uelewa wako mdogo ni tatizo la wengi wenye akili kama ya kwako. Wewe unashinda Dar mbele ya laptop yako hujui mengi sana yanayoendelea huko mikoani.

Huwa hamkawii kuwaita watu chawa pale wanaposhusha data nzito kuhusu mengi yanayofanyika katika awamu ya sita.

Bandari zote zinakwenda kuongezewa uwezo wa utendaji wa kazi. Endelea tu kulialia mtandaoni.
 
Miezi 6 aliyoitoa mazeli ilishaishia
Kwa nyie sahv mnasema mpaka 2024 March,na ikifika March mtarusha tena

Anyway,tushazoea longolongo zenu

Ova
 
Miezi 6 aliyoitoa mazeli ilishaishia
Kwa nyie sahv mnasema mpaka 2024 March,na ikifika March mtarusha tena

Anyway,tushazoea longolongo zenu

Ova
Hana jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…