The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Yaani achukue bilioni 35 kwa hao wafanyabiashara. Kwa biashara gani wanayoingiza bandarini bwana. Hizo hela hao watu si bora walipie tu ushuru bandarini. Yaani mtu apewe 35b. Gerarahia. Tena in cash.
Kuna watu hawajui kuongeza chumvi...wanaweka gunia zima