Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walishaambiwa wale kwa urefu wa kamba zao! Sasa huyu bwana kwa vile kamba yake ni ndefu mwache ale bwana!
Nani alikuambia wapigaji waliisha nchi hii hata wakati wake kuna baadhi yao walikuwa watandikaaamtarudi kumkumbuka makufuli kwa upumbavu wenu mnawasikiliza sana chadema sera zao za kumsema makufuli lakini mda sio mrefu mtaimba nyimbo moja woote, kodi zitazidi na bei ya bidhaa zitazidi mtakuwa kama libya lakini nyinyi bila vita
Kwani yuko peke yakeSheria zetu ni mbovu sana mtu kama huyu ningekuwa Raisi angenyongwa na kufulisiwa mali zake zote na washirika wake wote
dah hapo ndio kipengele sasa mkuuKwa kweli ila tafuta njia zingine tu za riziki kumbuka kuna wafanya biashara wengi wana hio hela na zaidi ila hawajulikani usitegemee ajira mkuuuu 😎
Mbona hiyo ni pesa ya mboga na ni vijsenti tu, huo ni wivu wa kike, nchi hii kuna wapigaji wakuu ndio maana hawa wadogo nao wanafuata nyayo tu, ningekuona wa maana kama ungewafuatilia wale wa ripoti ya Mkaguzi mkuu wa serikali CAG na genge la wahuni aka walamba asali na Don wao!Kuna watu wanaitafuna Nchi, Serikali ni sikivu, watu kama hawa hawatufai kwenye jamii yetu
BOSI TRA ANAVYOITAFUNA NCHI
Wakati kashfa ya baadhi ya watumishi wa umma kutajwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) haijapoa, Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), (jina naliweka kapuni kwa sasa) 'anaitafuna' nchini!
Taarifa za uhakika zinaeleza Bwana Huyo (nitatumia jina hilo kwa sasa kabla ya kulitaja jina lake kamili hapo baadaye) ambaye ni bosi wa TRA upande wa bandarini, anaitafuna nchi vile anavyojisikia.
"Bwana Huyo anajiandaa kustaafu, kama sio mwaka huu basi mwakani. So (kwahiyo) anachokifanya sasa ni kufuru kaka. Anaiibia nchi bila woga," anasema mtoa taarifa.
Anasema Bwana Huyo ambaye ni baba wa watoto watano, amekuwa akishirikiana na baadhi ya wafanyabiashara wa mafuta kuihujumu Serikali katika ukwepaji wa kodi.
"Bwana Huyo anaishi Msasani hizi siku za wikiendi ni jambo la kawaida kuwaona Wafanyabiashara wakija nyumbani kwake na bahasha kubwa kubwa na wakati mwingine wanakuja na maboksi makubwa yenye pesa."
Kwa mujibu wa vyanzo vingine vya habari, vinasema Aprili 17, 2023 Mamlaka za Serikali ambazo bado hazijafahamika zilivamia nyumba yake usiku wa manane na kukuta kiasi kikubwa cha pesa kwenye maboksi.
"Kinachonishangaza na kunistajaabisha baada ya kumkamata usiku uleule aliachiwa na asubuhi akaingia kazini! Waliomvamia waliondoka na boksi 19 za pesa!
"Taarifa ambazo ninazo zinadai wale jamaa waliovamia usiku sina hakika ni TAKUKURU au Polisi, nasikia walikuta pesa nyingi sana. Maana inasemekana alikuwa na Dolla ambazo ukizileta kwenye pesa za Kitanzania inafika bilioni 35," anasema.
Taarifa zaidi zinasema, mtumishi huyo wa umma katika siku za hivi karibuni alinunua nyumba na kiwanja huku pesa ya mali hizo akizitoa nyumbani kwake Msasani.
"Bwana Huyo anaitafuna nchi nielewe. Hivi unaweza kununua nyumba zaidi ya milioni 150 halafu ukaenda ndani kuchukuwa 'cash' na kulipia? Sasa Bwana Huyo, amenunua nyumba Mwananyamala na kiwanja Bagamoyo kwa ajili ya kuweka sheli na pesa zote amelipia cash akitoa ndani kwake!" Anasema mtoa taarifa.
Anasema pamoja na kutoa taarifa kwa Mamlaka za Serikali (TAKUKURU Upanga) lakini anashangaa kuona hakuna hatua zilizochukuliwa na taasisi hiyo nyeti ya Serikali.
"Unajua nchi hii wakati mwingine watumishi walioaminiwa na serikali wanakatisha watu tamaa sana maana nishatoa taarifa Takukuru lakini hadi sasa hakuna lolote limefanyika," anasema.
Bwana Huyo, mwaka jana alimhamisha mtoto wake wa kiume aitwaye (jina kapuni kwa sasa) kutoka katika Shule ya Sekondari Bwawani kwenda St. Methew kwa kile kinachoelezwa "kuficha upigaji wa baba".
Taarifa zinasema mtoto wa Bwana Huyo alikamatwa na uongozi wa Shule ya Sekondari Bwawani akiwa na simu ya gharama aina ya 'iphone' maarufu kama macho matatu.
Taarifa zinasema Nelkoni alipohojiwa na uongozi wa shule alikiri kumwibia pesa baba yake na kununua simu hiyo ambayo gharama yake dukani si chini ya milioni 2. Baada ya taarifa hizo kufika kwa wazazi wa Nelkoni ndio wazo la kumwamisha likaja ili mengi zaidi yasijulikane.
Zipo taarifa zisizo na shaka kwamba baada ya uvamizi wa Aprili 17, Bwana Huyo aliwafuta kazi wafanyakazi wake wawili wa nyumbani.
Maswali ambayo hayajapatiwa majibu ni kuwa kwa nini mamlaka hazijachukua hatua za kumkamata Bwana Huyo? Boksi zilizokamatwa zipo wapi? Kwa nani? Nani yupo nyuma ya Bwana Huyo?
Nitarudi na ushahidi kamili ikiwemo wa nyaraka za ununuzi wa mashamba na nyuma ikiwa ni katika moja ya harakati zake za kutakatisha fedha.
Torra umeandika wivu uliojaa ghilba mtaje huyo kigogo kwa majina kwani unaogopa nini mwehu weweKuna watu wanaitafuna Nchi, Serikali ni sikivu, watu kama hawa hawatufai kwenye jamii yetu

Wabongo wengi sio kwamba wanachukia ufisadi. Kinachowakera ni wao kuwa nje ya mfumo wa upigaji. Soma comments nyingi hapa utagundua kitu.Imagine kila mtu aingie alaf apambanie uzao wake waibe mpaka wasaze naamini zitakua ni familia chache Tu swali ni vipi hizi familia zaidi ya million 40 ambazo familia zao hazijapata nafasi hio ya kuiba ziendelee kuishi kwenye Lindi la umasikini kwasababu ya hizo familia chache ??
Daaah alaf ukishaiba ww na uzao wako wote then what next vipi ukienda kuulizwa na mungu kuhusu familia zaidi ya millioni 40 ulizoziibia utajibu nn
Kwann tunahamisishana maovu kwann tunahamisishana wizi daah unajua hii ndio itakua Tabia yetu tusipoangalia
Chadema wanataka kwenda kuhiji chato…. Agenda zao ni kama lawalawamtarudi kumkumbuka makufuli kwa upumbavu wenu mnawasikiliza sana chadema sera zao za kumsema makufuli lakini mda sio mrefu mtaimba nyimbo moja woote, kodi zitazidi na bei ya bidhaa zitazidi mtakuwa kama libya lakini nyinyi bila vita
Find the value of XBro mwisho wa siku what matters ni ww na uzao wako mkuuu
Kuna mtu x mwaka y alikuwa kitengo z
Kwa miaka A alichota bil E akastaafu mwaka q yuko canada na wanae ana five star hotel 3 humo nchini right now
Hivyo kila mtu apambanie uzao wake mkuuuuu
Kwa mantiki hiyo, Mtanzania anakuwa hana tofauti na wanyama au hayawani wa porini. Pona ya digidigi ni kushiba kwa Simba. Na watoto wa Chui wanaweza uwa mtoto wa swala kwa kujifunzia kuwinda. Tumia muda kidogo tu kuangalia Tv channel za wanyama na uone maisha ya mwituni.Bro mwisho wa siku what matters ni ww na uzao wako mkuuu
Kuna mtu x mwaka y alikuwa kitengo z
Kwa miaka A alichota bil E akastaafu mwaka q yuko canada na wanae ana five star hotel 3 humo nchini right now
Hivyo kila mtu apambanie uzao wake mkuuuuu
Mama, mama , mama. Mara mpeni maua yake.Kuna watu wanaitafuna Nchi, Serikali ni sikivu, watu kama hawa hawatufai kwenye jamii yetu
BOSI TRA ANAVYOITAFUNA NCHI
Wakati kashfa ya baadhi ya watumishi wa umma kutajwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) haijapoa, Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), (jina naliweka kapuni kwa sasa) 'anaitafuna' nchini!
Taarifa za uhakika zinaeleza Bwana Huyo (nitatumia jina hilo kwa sasa kabla ya kulitaja jina lake kamili hapo baadaye) ambaye ni bosi wa TRA upande wa bandarini, anaitafuna nchi vile anavyojisikia.
"Bwana Huyo anajiandaa kustaafu, kama sio mwaka huu basi mwakani. So (kwahiyo) anachokifanya sasa ni kufuru kaka. Anaiibia nchi bila woga," anasema mtoa taarifa.
Anasema Bwana Huyo ambaye ni baba wa watoto watano, amekuwa akishirikiana na baadhi ya wafanyabiashara wa mafuta kuihujumu Serikali katika ukwepaji wa kodi.
"Bwana Huyo anaishi Msasani hizi siku za wikiendi ni jambo la kawaida kuwaona Wafanyabiashara wakija nyumbani kwake na bahasha kubwa kubwa na wakati mwingine wanakuja na maboksi makubwa yenye pesa."
Kwa mujibu wa vyanzo vingine vya habari, vinasema Aprili 17, 2023 Mamlaka za Serikali ambazo bado hazijafahamika zilivamia nyumba yake usiku wa manane na kukuta kiasi kikubwa cha pesa kwenye maboksi.
"Kinachonishangaza na kunistajaabisha baada ya kumkamata usiku uleule aliachiwa na asubuhi akaingia kazini! Waliomvamia waliondoka na boksi 19 za pesa!
"Taarifa ambazo ninazo zinadai wale jamaa waliovamia usiku sina hakika ni TAKUKURU au Polisi, nasikia walikuta pesa nyingi sana. Maana inasemekana alikuwa na Dolla ambazo ukizileta kwenye pesa za Kitanzania inafika bilioni 35," anasema.
Taarifa zaidi zinasema, mtumishi huyo wa umma katika siku za hivi karibuni alinunua nyumba na kiwanja huku pesa ya mali hizo akizitoa nyumbani kwake Msasani.
"Bwana Huyo anaitafuna nchi nielewe. Hivi unaweza kununua nyumba zaidi ya milioni 150 halafu ukaenda ndani kuchukuwa 'cash' na kulipia? Sasa Bwana Huyo, amenunua nyumba Mwananyamala na kiwanja Bagamoyo kwa ajili ya kuweka sheli na pesa zote amelipia cash akitoa ndani kwake!" Anasema mtoa taarifa.
Anasema pamoja na kutoa taarifa kwa Mamlaka za Serikali (TAKUKURU Upanga) lakini anashangaa kuona hakuna hatua zilizochukuliwa na taasisi hiyo nyeti ya Serikali.
"Unajua nchi hii wakati mwingine watumishi walioaminiwa na serikali wanakatisha watu tamaa sana maana nishatoa taarifa Takukuru lakini hadi sasa hakuna lolote limefanyika," anasema.
Bwana Huyo, mwaka jana alimhamisha mtoto wake wa kiume aitwaye (jina kapuni kwa sasa) kutoka katika Shule ya Sekondari Bwawani kwenda St. Methew kwa kile kinachoelezwa "kuficha upigaji wa baba".
Taarifa zinasema mtoto wa Bwana Huyo alikamatwa na uongozi wa Shule ya Sekondari Bwawani akiwa na simu ya gharama aina ya 'iphone' maarufu kama macho matatu.
Taarifa zinasema Nelkoni alipohojiwa na uongozi wa shule alikiri kumwibia pesa baba yake na kununua simu hiyo ambayo gharama yake dukani si chini ya milioni 2. Baada ya taarifa hizo kufika kwa wazazi wa Nelkoni ndio wazo la kumwamisha likaja ili mengi zaidi yasijulikane.
Zipo taarifa zisizo na shaka kwamba baada ya uvamizi wa Aprili 17, Bwana Huyo aliwafuta kazi wafanyakazi wake wawili wa nyumbani ili wasije wakavujisha kile ambacho kimefanyika.
UTATA UKO WAPI?
1. Idara gani ya serikali ilimkamata Bwana huyo usiku wa April 17, 2023?
2. Kwanini kulikuwa na uchelewi tangu taarifa ziripotiwe Takukuru?
3. Kwanini alikamatwa usiku na kuachiwa usiku huohuo?
4. Kwanini Takukuru na Polisi hawajui lolote kuhusu sakata hili?
5. Nani yupo nyuma ya Bwana huyo ambaye jina lake la kwanza linaanza na J huku jina lake la mwisho likianza na M?
Nitarudi na ushahidi kamili ikiwemo wa nyaraka za ununuzi wa mashamba na nyuma ikiwa ni katika moja ya harakati zake za kutakatisha fedha.
Unashangaa nini wewe?Aisee....