Lidafo
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 889
- 1,789
Of coz hicho ndioo cha msingiChukueni video ya siri akifanya huo uonevu..... dawa ya moto ni moto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Of coz hicho ndioo cha msingiChukueni video ya siri akifanya huo uonevu..... dawa ya moto ni moto
Kweli kabisaWaliogoma wakati wa Mapinduzi ya kwanza ya viwanda hawakuwa wajinga
NyauweweYaonesha we naye ulihonga maana si kwa hasira hizi
Kudhalilisha kupo kwa aina mingi huenda akawa anawafanyia bullying ana wa-harass n.kAna wadhalilishaje?
Kudhalilisha kupo kwa aina mingi huenda akawa anawafanyia bullying ana wa-harass n.k
Nchi inauza rasilimali kwa wageni halafu inawafanya raia wake manamba wa mabwenyenye wa kihindi na kichina ,pumbavu sanaMerchandising executive kwa jina la Perumal aliyepo kiwanda cha A to Z katika kampuni ya Red Earth amekuwa na tabia endelevu ya kuwatukana, kuwabagua, kuwadhalilisha na kuwaonea watanzania wanaofanya kazi katika ofisi ya merchandising kiwandani hapo.
Malalamiko hayo yalipelekwa kwa uongozi wa kiwanda lakini hakuna hatua zilizochukuliwa dhidi yake badala yake wale walio peleka taarifa kwa uongozi wakafukuzwa kazi, Perumal amekuwa ni Tatizo sugu kiwandani hapo na alifikia hatua ya kusema serikali ya Tanzania ni dhaifu hawezi kufanywa chochote.
Tunaomba uongozi wa Mkoa wa Arusha na ofisi za kazi mkoa wa Arusha wafike kiwandani hapo kuwahoji wafanyakazi juu ya tabia za mtu huyo lakini pia wawatafuta wale waliokuwa wanafanya kazi ofisini hapo waliofukuzwa baada ya kupeleka barua ya malalamiko kwa uongozi wa kiwanda kwa ajili ya kuwahoji na watawasaidia maelezo na email walizowatumia uongozi.
Tusaidiane kupaza sauti kukemea uonevu maeneo ya kazi na kuifanya Tanzania salama.
Hiyo yote sababu ya ufukara tu unaosababishwa na kutowajibika kwa wananchi kuibana serikali na kuleta mapinduzi ya kweli katika uendeshaji wa nchi , mafisadi wamejazana wanakula na kusaza kwa anasa kwa kodi zenu ,halafu common citizens wamegeuzwa watumwa kwenye nchi yao .Merchandising executive kwa jina la Perumal aliyepo kiwanda cha A to Z katika kampuni ya Red Earth amekuwa na tabia endelevu ya kuwatukana, kuwabagua, kuwadhalilisha na kuwaonea watanzania wanaofanya kazi katika ofisi ya merchandising kiwandani hapo.
Malalamiko hayo yalipelekwa kwa uongozi wa kiwanda lakini hakuna hatua zilizochukuliwa dhidi yake badala yake wale walio peleka taarifa kwa uongozi wakafukuzwa kazi, Perumal amekuwa ni Tatizo sugu kiwandani hapo na alifikia hatua ya kusema serikali ya Tanzania ni dhaifu hawezi kufanywa chochote.
Tunaomba uongozi wa Mkoa wa Arusha na ofisi za kazi mkoa wa Arusha wafike kiwandani hapo kuwahoji wafanyakazi juu ya tabia za mtu huyo lakini pia wawatafuta wale waliokuwa wanafanya kazi ofisini hapo waliofukuzwa baada ya kupeleka barua ya malalamiko kwa uongozi wa kiwanda kwa ajili ya kuwahoji na watawasaidia maelezo na email walizowatumia uongozi.
Tusaidiane kupaza sauti kukemea uonevu maeneo ya kazi na kuifanya Tanzania salama.
Mmesikiliza upande wa pili? Au mnakimbilia kuhukumu tu!Mamlaka zimshughulikie
Kumshughulikia kunaanza na kusikilizwa akikutwa na makosa procedure nyingine ziendelee.Mmesikiliza upande wa pili? Au mnakimbilia kuhukumu tu!
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
AbsolutelyHiyo yote sababu ya ufukara tu unaosababishwa na kutowajibika kwa wananchi kuibana serikali na kuleta mapinduzi ya kweli katika uendeshaji wa nchi , mafisadi wamejazana wanakula na kusaza kwa anasa kwa kodi zenu ,halafu common citizens wamegeuzwa watumwa kwenye nchi yao .
Upumbavu sana , hii nchi wananchi hawatakiwi kuishi maisha ya dhiki hivyo ,dhiki ndio inafanya watu wawe vulnerable kuwa oppressed na kudhulumiwa na hao wapuuz
Ndio twataka atufahamishe aina ya udhalilishaji anaoufanya.Kudhalilisha kupo kwa aina mingi huenda akawa anawafanyia bullying ana wa-harass n.k
Sawa mbongoWabongo akili ndogo, Sasa hapo nenda kamtoe mmoja njoo mlipe mshahara laki na nusu na baadhi ya huduma mhudumie, coz ni mbongo mwenzake umemuajiri full kuanza dharau ya kazi na kukusimanga boss. Mbongo dawa yake ni hao wahindi na waarabu acha wawanyooshe. Nimekaa na mibongo akili ndogo sana unalipa fair kwenye kazi unamlipa vizuri lakini anaenda kuungana tena na majirani kuniharibia. Namuuliza hv wewe kesho nikikufukuza hao majirani watakupa hata nauli?
HatujitambuiSawa mbongo
tatizo anawatoMBER kwenye tiGo.Sasa kutombwer ni kudhalilishwa??