DOKEZO Bosi wa kiwanda cha A to Z Arusha anawadhalilisha na kuwakandamiza Watanzania

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mna Nchi inauza rasilimali kwa wageni halafu inawafanya raia wake manamba wa mabwenyenye wa kihindi na kichina ,pumbavu sana
 
Hiyo yote sababu ya ufukara tu unaosababishwa na kutowajibika kwa wananchi kuibana serikali na kuleta mapinduzi ya kweli katika uendeshaji wa nchi , mafisadi wamejazana wanakula na kusaza kwa anasa kwa kodi zenu ,halafu common citizens wamegeuzwa watumwa kwenye nchi yao .
Upumbavu sana , hii nchi wananchi hawatakiwi kuishi maisha ya dhiki hivyo ,dhiki ndio inafanya watu wawe vulnerable kuwa oppressed na kudhulumiwa na hao wapuuz
 
Wabongo akili ndogo, Sasa hapo nenda kamtoe mmoja njoo mlipe mshahara laki na nusu na baadhi ya huduma mhudumie, coz ni mbongo mwenzake umemuajiri full kuanza dharau ya kazi na kukusimanga boss. Mbongo dawa yake ni hao wahindi na waarabu acha wawanyooshe. Nimekaa na mibongo akili ndogo sana unalipa fair kwenye kazi unamlipa vizuri lakini anaenda kuungana tena na majirani kuniharibia. Namuuliza hv wewe kesho nikikufukuza hao majirani watakupa hata nauli?
 
Absolutely
 
Sawa mbongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…