Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Wewe ulifuata nini Telegram ,tofauti na bosi wako?Dah mida hii naingia zangu telegram nakuna na Boss join kwenye group la ovyo sana sasa najiuliza how ameweza jiunga af ni mtu hana heshimika sana
Dah nawaza nileft mimi au nibaki nikomae
Ila hafai kuwa paleBosi ni cheo tu , naye mi mtu kama wewe ,komaa tu ,
Ahah mimi mule ndio nyumban tunapataga pisWewe ulifuata nini Telegram ,tofauti na bosi wako?
Siku na ww nikikukuta pale nitashangaa sana ππNayeye ni mtu wa kawaida
AiseeAlafu utakuta anapumuliwa
Simfwatilii ila nimeingia group ndio nikakuta iyo taarifaKwa usalama wa kazi yako na amani ACHA KUFATILIA BOSS WAKO
Huko umefika mbali ase πAlafu utakuta anapumuliwa
Dah mida hii naingia zangu telegram nakuna na Boss join kwenye group la ovyo sana sasa najiuliza how ameweza jiunga af ni mtu hana heshimika sana
Dah nawaza nileft mimi au nibaki nikomae
Sasa unikute na hatujuani au ndio ushakula ugali na sukari?Siku na ww nikikukuta pale nitashangaa sana ππ
Ahahah asiwazeMambo ya kawaida kikubwa usiwe mkuda
Dah aseMnanunua au kununuliwa ?