Shazili mnali
JF-Expert Member
- Mar 25, 2023
- 362
- 569
kwaiyo bos wako hanisiAhah mimi mule ndio nyumban tunapataga pis
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwaiyo bos wako hanisiAhah mimi mule ndio nyumban tunapataga pis
Bosi ni jinsia ganiDah mida hii naingia zangu telegram nakuna na Boss join kwenye group la ovyo sana, sasa najiuliza how ameweza jiunga halafu ni mtu anaheshimika sana
Dah nawaza nileft mimi au nibaki nikomae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku utapokuta Dad Join Group Buza kwa mpalange hakikisha unamtag na kumuuliza "kumbe mzee na wewe unapitaga huku"
Siipendi hii kitu kabisa, ndo maana, nna fekero kwa kila app niliyopoo.Algorithm za mitandao ya kijamii wengi hawana ufahamu nao mfano telegram mtu akiwa kweny group unamuona moja kwa moja kwa jina ulilomsave kama namba yek unayo ,na hata akijiunga kwa mara ya kwanza telegram unapata notification mtu fulani amejiunga na unajua kabisa.
Facebook hata ukoment kweny page yeyote ile ambao friends zako hawapo basi wao wataiona moja kwa ile post kupitia comment yako na hapo kama ulikoment ujinga basi wanaona kabisa ...Unakuta page za mambo ya zinaa mwanamke kajipost nusu uchi then unamuona hata babaako kakoment "nice picture"[emoji1787][emoji1787]
Tupiamo link kwa pm boss[emoji23] umetisha SanaHata mimi ofisini naitwa boss ila nimejaza haya magroup #kataand0a
View attachment 2535621