Boss kajiunga kwenye Group la Danguro la Telegram

Unalitafuta gono kwa nguvu.
Dah mida hii naingia zangu telegram nakuna na Boss join kwenye group la ovyo sana, sasa najiuliza how ameweza jiunga halafu ni mtu anaheshimika sana

Dah nawaza nileft mimi au nibaki nikomae
 
M report Kwa admin aleft, au mpe link atume kwenye group bot limtoe
 
Dah mida hii naingia zangu telegram nakuna na Boss join kwenye group la ovyo sana, sasa najiuliza how ameweza jiunga halafu ni mtu anaheshimika sana

Dah nawaza nileft mimi au nibaki nikomae

Niunge mkuu hata mm ni bosi wa Bajaji zangu 3
 
Hata mimi ofisini naitwa boss ila nimejaza haya magroup #kataand0a
Screenshot_20230102-133613_Telegram.jpg
 
Dah mida hii naingia zangu telegram nakuna na Boss join kwenye group la ovyo sana, sasa najiuliza how ameweza jiunga halafu ni mtu anaheshimika sana

Dah nawaza nileft mimi au nibaki nikomae
kichwa chini hakihitaji heshima
 
Hapo alicho kosea ni kutumia tu namba yake inayofahamika. Bosi inabidi awe na namba ya mambo yake binafsi asije jikuta ana aibika
 
Back
Top Bottom