Algorithm za mitandao ya kijamii wengi hawana ufahamu nao mfano telegram mtu akiwa kweny group unamuona moja kwa moja kwa jina ulilomsave kama namba yek unayo ,na hata akijiunga kwa mara ya kwanza telegram unapata notification mtu fulani amejiunga na unajua kabisa.
Facebook hata ukoment kweny page yeyote ile ambao friends zako hawapo basi wao wataiona moja kwa ile post kupitia comment yako na hapo kama ulikoment ujinga basi wanaona kabisa ...Unakuta page za mambo ya zinaa mwanamke kajipost nusu uchi then unamuona hata babaako kakoment "nice picture"🤣🤣