Boss kajiunga kwenye Group la Danguro la Telegram

Boss kajiunga kwenye Group la Danguro la Telegram

Bocy wako ni muuza duka? Maana ni muuza duka tu ndo anaweza weka profile yake na picha halisi huko
Namba ya simu ya mtu ukusev kama ipo telegram inajisev kule au utumii sna mitandao iyo
 
Kwan wewe ulifata nini kwenye hilo group?, Bosi wako hataki stress kaamua kujichanganya tu .
Njia rahisi ya kupata stress ni kujiwekea limitations,
Ahahha aya kazi kwake
 
Dah mida hii naingia zangu telegram nakuna na Boss join kwenye group la ovyo sana sasa najiuliza how ameweza jiunga af ni mtu hana heshimika sana

Dah nawaza nileft mimi au nibaki nikomae
Siyo hana, sema ana heshimika. Unapoongeze h mbele una kanusha. Kwana mfana. Juna ana pesa. Na Juma hana pesa.
 
Back
Top Bottom