Boss kajiunga kwenye Group la Danguro la Telegram

Dah mida hii naingia zangu telegram nakuna na Boss join kwenye group la ovyo sana, sasa najiuliza how ameweza jiunga halafu ni mtu anaheshimika sana

Dah nawaza nileft mimi au nibaki nikomae
Bosi ni jinsia gani
 
Siipendi hii kitu kabisa, ndo maana, nna fekero kwa kila app niliyopoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…