mamakibunju
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 1,009
- 221
Si ndio hapo sasa... ila ukute wanaandaa mazingira ya kumtoa. Si unajua tena...lisemwalo lipo
Kaka wavimba macho awana mchezo na mzigo umeonekana live, tumuombee kwa mungu tu mwanawane asifungwe muda mrefu, lkn kuachiwa free itakuwa issue kubwa..!
China sasa hivi winter huwezi kutoka na kichupi kiasi hicho, nikutumia akili tuu kakamatwa na mkoti sababu ni baridi sana leo ana kichupi hapo kaka Jux hakupiga mahesabu vizuri
cheza na china ww uone
Hajatoka huyo china mchezo.jux anacheza na akili
Hajatoka huyo china mchezo.jux anacheza na akili