mamakibunju
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 1,009
- 221
Si ndio hapo sasa... ila ukute wanaandaa mazingira ya kumtoa. Si unajua tena...lisemwalo lipo
Kaka wavimba macho awana mchezo na mzigo umeonekana live, tumuombee kwa mungu tu mwanawane asifungwe muda mrefu, lkn kuachiwa free itakuwa issue kubwa..!