Boss Lady ''a-update'' kurasa yake ya instagram....

Boss Lady ''a-update'' kurasa yake ya instagram....

kwa niijuavyo bongo!huyu jackie kwa uzuri wake angeweza kuishi maisha mazuri bila kufanya kazi zaidi ya kutegemea wanaume tu kama wafanyavyo chupi chafu wengine!ila kwa ujasiri wa mtu wangu huyu wa nguvu jackie cliff akachekecha akaona siyo kesi wala nini akazama mzigoni mwenyewe....big up mwanadada jackie cliff ni ajali kazini tu acha mbwa kama ray C mwenye ngoma ikampa stress akaanza kula unga mchafu abwatuke!kama yeye mjanja angekuwa anakula kitu white cha pele ila kwakuwa mzigo hana akawa anagonga machafuchafu ya pakistan.....get rich or die tryin!


Muuza mwingine wewe hapo!
 
Mie kuna siku nilisikia Balozi wa Tanzania nchini China anasema hakuna mtanzania aliokamatwa na madawa ya Kulevya

na hata hiyo taarifa ya Jackie cliff hana maana last time mtu kukamatwa na madawa ilikuwa May 2013 I was like WHAT!!!!!
 
picha yenyewe hii....

JACK+CLFFF.png
 
Huyo Jux hana akili baada ya kufikiria watafanyaje akipewa bond yeye anataka kuwa "prove" watu kwamba Jacky yuko nje, wachina hawajamuachia bado yuko ndani na anaembebesha sembe na kumpa jeuri anaitwa jordan, wewe Jux acha ushamba Jacky hatoki leo wala kesho

na ile pic Insta je.........maana inaonekana ni ya very recently
 
I'm happy for her wisdom...mwacheni atoke aendelee kuwanyoosha wabongo
 
No kweli ni yeye imepigwa kama sikosei Leo kwenye mida ya SAA sita ivi,nilivyoichek post imewekwa 26minutes ago,na nika mfollow instance baada ya muda aka accept maana ameweka private user,kama they just brainwash us haina maana..Ila hat a masogange ilikuwa Ivi mwisho wake katoka kweli..so lets watch the scene
 
Balozi wetu kule China na wauza wa Unga Lao mojaaa,, hata hivyo nilijaribu kumpigia simu rfk wa karbu nikamhuliza vip Jack ameachiwa akaniambia Hapana hajui lolote nasubir badae nimpigie teena Anipe Ukwelii,, mimi mwenyewe nimeshangaa Instagram ka post pcha

Wanasema ni Jux ndio anaezituma...sijui sasa
 
Balozi wetu kule China na wauza wa Unga Lao mojaaa,, hata hivyo nilijaribu kumpigia simu rfk wa karbu nikamhuliza vip Jack ameachiwa akaniambia Hapana hajui lolote nasubir badae nimpigie teena Anipe Ukwelii,, mimi mwenyewe nimeshangaa Instagram ka post pcha

Utatupa update Mkuu...
 
Ntakasi

hivi mnaomtetea jacky mna akili timamu kweli.?
By the way naomba unisaidie MNAUPATAJE HUO U-JASIRI,NA MIMI NINA UHITAJI NISAIDIENI JAMANI..

Yaani...huo ujasiri tungeutumia kwenye issue nyingine tungekuwa mbali sana. Sidhani ile kazi kama wawezaifanya ukiwa na akili zako. Haiingii akilini...sijui ndo waganga sielewi....
 
Last edited by a moderator:
Mtoto mzuri hivi harafu mtu anamsokomeza mikete katika nnya/kabang yake kwa malipo gani?mbona wanajiharibu hawa watoto?,hawa wanastahili adhabu kali sana na ikibidi wapotezwe katika uso wa dunia hii.
 
Back
Top Bottom