Boss wa Diamond akubali kushiriki kwenye ushirikina

Wananchi mmeanza..muacheni baba wa watu amalize janga lake salama.
 
Chezea mambo mengine lakini si jf!
Tale kushiriki kwenye ushirikina si habari mpya alisha kiri mwenyewe kwa mdomo wake kwenye kipindi cha mkasi cha Salama Jabir..... walikuwa wanapeleka kuku kuchinja
 

Nimejikumbuka
 

Kumbukizi
 
MMh ebu usitufanye watoto apa, kwa hyo na wewe unajifanya hujaelewa?? Diamond mshirikina toka zamani, we waache tu ipo siku yatamkuta, ata ajulikane dunia nzima ila mwisho wake sio mzuri, mtoto mdogo anakuwa mchawi, yani babu tale katufungua macho
Inakuwaje Watu mnaweka imani kwenye mambo ya kishirikina kuliko kumuamini Mungu...kwani Mtu hawezi kufanikisha mambo yake kwa kumuamini na kumuomba Mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…