BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Miaka mitano iliyopita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndan ya xxl kwenye Mic za mawinguMiaka mitano iliyopita
i concur with you Diva Beyonce katika hili Tale kateleza kabisa maana hii itamlenga Diamond sana kuliko yeye binafsi!
Kwakweli alitakiwa kujua yeye ana position gani kwa jamii na image yake ina muwakilisha nani? Ni ngumu watu kutenganisha ushirikina wa kufanikisha mambo yake binafsi na mambo ya Diamond hasa muziki!
Kwakweli hii kauli itamuathiri sana Diamond maana aliyesema ana yaamini haya ni manager wake mimi naamini shughuli za music wa Diamond zinafanikisha shuguli binafsi za Babu Tale!
Hii si mala yake ya kwanza kuropoka huu anao huita ukweli wake..kwakweli una muathiri Diamond zaidi kuliko yeye binafsi kama anavyo sema!
Mimi nafikiri Babu Tale anatakiwa kufunzwa nini cha kuongea kwenye media na ambacho si cha kuongea....!
Kuna watu kama T.I.D na Q -chillah walisha toa tuhuma zilizo kuwa zinaelekea kwa Diamond kuwa ana waroga..Mimi sijawai kuamini haya lakini huu ujinga wa Babu Tale unawapa sababu na credit kuamini kuwa kuna ushirikina kwenye maendeleo yake jambo ambalo lingeweza kuzuilika!
Binafsi naona huu ni ujinga wa Babu Tale ambao una muharibia Diamond reputation yake......
Kateleza sana tu huyu Tale kwenye hili suala la kuropoka ushirikina kitu ambacho kinapigwa na jamii nzima mana kina haribu jamii,ukiachia kesi za mauaji yakiaminika ushirikina. Afikirie kabla ya kuongea hata ka MTU wake hafanyi its obvious kwa watu kuhisi kua hayo mambo yanafanyika. Na kumharibia msanii.
Hafu mastar wengi wa kibongo kwa kujifanya wanajua kusema ukweli ambao hata ni ujinga simply ili waonekane. Kuna vitu hata kama unafanya kweli havipaswi kusemwa hadharani zaidi ya kubaki binafsi na hayaihusu jamii.
Sasa hapo Tale amejidhihirisha umbumbu wake mana hizo rumours zimekua zikienea kichini chini kuwa wasanii wanalogana, ka ya kina q chief. Na watu walishayapotezea sasa kayafukua upya.
Hawa wasanii na manager wawe makini na kauli zao hata ka yametendeka maovu huko wabaki nayo. Kuyasema hadharani ni kujichafulia CV zao na reputations zao.
Inakuwaje Watu mnaweka imani kwenye mambo ya kishirikina kuliko kumuamini Mungu...kwani Mtu hawezi kufanikisha mambo yake kwa kumuamini na kumuomba Mungu?MMh ebu usitufanye watoto apa, kwa hyo na wewe unajifanya hujaelewa?? Diamond mshirikina toka zamani, we waache tu ipo siku yatamkuta, ata ajulikane dunia nzima ila mwisho wake sio mzuri, mtoto mdogo anakuwa mchawi, yani babu tale katufungua macho