Nataman van na yeye angekuwa mshirikina kama meneja wa domo. Ili na wachezaji wetu wabebe kombe. Ngoja nikamshauri ushirikina lazma bhana kama mou ni mchawi yule ndo maana the bluuuz wametoboa kimataifa.
Hahahah unajua nini unaweza kuwa mchawi katika categories zifuatazo:
1.kumchukia MTU kupita kiasi bila sababu za msingi.
2. Kupiga bao
3.kuwa mjuzi wa kitu Fulani kupita wengine tena unakifanya kwa ufanisi wa hali ya juu( tunaweza kukuita mchawi)
4.kuchukiwa na watu walalahoi na hoehae.
5. Kupendwa na watu wengi kuliko wengine.
6.kila unachofanya au kusema kinageuka dhahabu au trending topic.
7.kula nyapu za mademu wakali wa mjlni.
8.watu kukutumia wewe kama mbeleko ya kupata ugali wao( refer ila kampuni huwa inayoiba nyimbo za watu na kkuza iTunes)
9.wewe kulipwa pesa nyingi kwenye shoo moja na anayejidai ni hasimu wako( kumbe sie wala hana vigezo vya kuwa hasimu wako).
10.kila media Iwe gazetj, tvstation, radio station,social media (twitter,fb,Instagram,jamiiforums,) na kila kinywa cha MTU(anayekupenda na anayekuchukia) vyote kukuzungumzia wewe hahah wewe lazima uwe mchawi.
Nb; kama moja kati ya hivyo inakuhusu basi we mchawi na mshirikina
Hahhahaha ni mtazamo tu.
Haaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaaaa kumbeeee😕😕😱😱😱:sly:
Mimi bado hamna ata moja inayonihusu ndo maana sijatoboza kimataifa....vipi hiyo umekaa kabisa ukaandika kitu kirefu ivyo duu mkuu unajiweza...
Shostito data mbona hujaniita kwenye huu uzi mamy mimi napitwaaa? Mbona nyingine unaniitaga shoogaaaaa?
Kwangu ni simpo tu naweza kushusha gazeti hapa nikiamua kufunga kazi veree simpo tena in short time but hahahahah mkuu umekosekana hata kipengele kimoja hapo kweli?
Mhuuhh'!! Wewe??
Unataka kesh ya fasta.?
Njo nkupeleke njombe unaoza siku saba,, unatoka funza mamilion. Hao funza ndo pesa.
Masharti anaewazoa hao funza awe mumeo na akomae na wewe humohumo rum. Akitoka tu au akiona kinyaa kuwafagia wote mna RIP.
Kwangu ni simpo tu naweza kushusha gazeti hapa nikiamua kufunga kazi veree simpo tena in short time but hahahahah mkuu umekosekana hata kipengele kimoja hapo kweli?
Yupo wapi nifah? Nime mmiss sana. Ni hayo tu.
Yaani nitaweka ata kizazi changu bondi nisizae ili nitoboe kimataifaaa nitalala ata makaburini. Hamna shida nitalelea watoto wa wanaume nitakao kuwa nao nitawaambia waniite mama maana hamna namna uwezo wa kuzaa nitakuwa nimeshaupoteza
Mbona unahusisha sana swala la kwenda shule mkuu? Anyway naomba nijue elimu yako kama hutojali.
Hahahah unajua nini unaweza kuwa mchawi katika categories zifuatazo:
1.kumchukia MTU kupita kiasi bila sababu za msingi.
2. Kupiga bao
3.kuwa mjuzi wa kitu Fulani kupita wengine tena unakifanya kwa ufanisi wa hali ya juu( tunaweza kukuita mchawi)
4.kuchukiwa na watu walalahoi na hoehae.
5. Kupendwa na watu wengi kuliko wengine.
6.kila unachofanya au kusema kinageuka dhahabu au trending topic.
7.kula nyapu za mademu wakali wa mjlni.
8.watu kukutumia wewe kama mbeleko ya kupata ugali wao( refer ila kampuni huwa inayoiba nyimbo za watu na kkuza iTunes)
9.wewe kulipwa pesa nyingi kwenye shoo moja na anayejidai ni hasimu wako( kumbe sie wala hana vigezo vya kuwa hasimu wako).
10.kila media Iwe gazetj, tvstation, radio station,social media (twitter,fb,Instagram,jamiiforums,) na kila kinywa cha MTU(anayekupenda na anayekuchukia) vyote kukuzungumzia wewe hahah wewe lazima uwe mchawi.
Nb; kama moja kati ya hivyo inakuhusu basi we mchawi na mshirikina
Hahhahaha ni mtazamo tu.
Mondi mwanga sana.
Lulu, wema na diamond kwa ushirikina hawana mpimzani, watoto wachawi wale sijawahi kuona, mama ubaya yupo busy sasa ivi anaoroga aingie bungeni mxiue na wataumbuka mwaka huu