Boss wa Diamond akubali kushiriki kwenye ushirikina

Point, tatizo la uchawi kama kweli unaufanya ukiukana hadharani unakuchapa gizani......!
 
Hahah nilisahau ilo tukio kweli nalo lilizua shaka sana kwa watu. Bora sisi tunasingiziwa Wao wana practice kabisa ndumba hadharani duh.

Meona eeh bora ya chibu wanaemhisi tu kuliko k anaetuonesha hadharani, ila masharti ya waganga nayo mtihani mtupu, ndo nini kumrukisha mwenzao ukuta,,😁
 
Hahahah imebuma yaani kipindi kifupi tu haah!

Ila nasikia Akili zinaendelea kuchekechwa kucheketuliwa.

Hahahaaaa tatizo anaenda kwa waganga wauchochoroni amuulize mondi mganga wake😁😁
 
Lulu, wema na diamond kwa ushirikina hawana mpimzani, watoto wachawi wale sijawahi kuona, mama ubaya yupo busy sasa ivi anaoroga aingie bungeni mxiue na wataumbuka mwaka huu
Wewe nikimbelembe,mama usipitwe kaone....
 

Maneno ya busara haya mkuu.
 
NYie waswahili wachawi sana nyie, tena wa kuogopwa, elimu zero akili zero mtafanya nini zaidi ya kuroga?, ila mungu atawaumbua soon, nyie waswahili kwa uchawi mxiuuui ndio maana mkizaliwa tu mnavalishwa hirizi yan nyie mna laana
Sawa Mpwa, sisi wachawi, ni watu wa kuogopwa, hakuna chochote tunachowaza zaidi ya kuroga! Swali langu ina maana nyinyi watoto wa kishua mliosomea ng'ambo mnaamini kwamba mtu anafanikiwa kupitia uchawi? Swali mbona jepesi tu mpwa?
 
MH mpwa nae umeanza na magazeti yako
Mpwa akuambiae ukweli anakupenda... sisi wengine tunakula ban tukichokozwa kwa maana tunafahamu JF ukijifanya mstaarabu watu watakupanda hadi makalioni lakini wewe mpwa unaongoza kwa uchokozi! Hakuna tusi baya kama kumwambia mwanaume mwenzako kwamba atagongwa wakati hajakufanya chochote kile!
 
Maneno ya busara haya mkuu.
Yaani hili lipwa langu warumi mie lishanishinda... lenyewe linajifanya toto la uzunguni; sasa lingekulia Maguruwe kama sisi sijui lingekuwaje! Na we ngoja tu, nasubiri mfungo uishe... nitamfungia kazi cku moja humu jamvini hadi aipate habari yake. Hiyo cku wote tunakula ban, tukirudi tunapatana, kwani tatizo lipo wapi!
 
Last edited by a moderator:
ameulizwa ana amini uchawi kama upo kasema ndio

kaulizwa anashiriki kasema anashiriki yeye ni mwafrika na mtu wa morogoro so huwa ana enda kwa mganga kwa ajili ya mambo yke binafsi kama kupata tiba!

Hii haihusiani na diamond....!!


Tatizo wa bongo tumekalia unafiki..nandio unatufanya hatusogei mbele.
Mtu kuwa mkweli ishakuwa shida? ?
 
Sawa Mpwa, sisi wachawi, ni watu wa kuogopwa, hakuna chochote tunachowaza zaidi ya kuroga! Swali langu ina maana nyinyi watoto wa kishua mliosomea ng'ambo mnaamini kwamba mtu anafanikiwa kupitia uchawi? Swali mbona jepesi tu mpwa?

Kama watu wanautukuza uchawi na wanauhalalisha mbele ya jamii kwa nini nisiamini? Tale nilimshangaa sana eti anawaambia akina fetty na adam kila mtu anafanya uchawi ata wakisema wapekuliwe wengi mjengoni watakutwa nazo, yani Elimu nzuri sana bora unyimwe pesa upewe elimu yani kajiaibisha mpaka akina fetty wakamshangaa, yani mtu unajivunia ushirikina hadharani? SIsi kwetu ushuani hatujazoea uchawi aiseeh, Elimu yetu ndio uchawi wetu, ila babu tale katisha, kamdhalilisha sana mwenzie ata kama kweli hafanyi
 
Witchcraft is a product of a person's lack in critical thinking abilities.

Working smart and perseverance is the talent.

Witch Craft has nothing to do wit making good music.
 
Tale humu mbona mie nishawahi kumzungumzia kitambo na ndio maana mtu kama mimi wala hanisumbui akili coz' najua ni mropokaji! Kwanza kwa ufupi, wasanii wengi ni washirikina, tena sana tu lakini wala siamini kwamba ushirikina unaweza kumpaisha mtu unless kama tunataka kuamini kwamba hata akina Nick Minaj nao ni washirikina! Ingekuwa ushirikina unamwezesha mtu, Waafrika tungekuwa mbele kwa kila kitu manake, kwenye mpira ushirikina, lakini Afrika ndo ya mwisho; kwenye filamu full ushirikina, lakini wala hatumo kwenye ramani ya watengeneza filamu bora duniani... hata nyanya tunauza kwa ushirikina lakini bado kwanza tunaongoza kwa umaskini! Hakuna mchawi mkubwa duniani zaidi ya pesa, haya mambo mengine ni upuuzi tu!
 

Duh maneno yako yanachoma binamu khaa!!,ila wamenichokoza, mi mtu akijifanya chizi mimi ndio raisi wao
 
Witchcraft is a product of a person's lack in critical thinking abilities.

Working smart and perseverance is the talent.

Witch Craft has nothing to do wit making good music.

The best quote of the day.:thumbup::thumbup:
 
Witchcraft is a product of a person's lack in critical thinking abilities.

Working smart and perseverance is the talent.

Witch Craft has nothing to do wit making good music.

I wish you could listen to what babu tale said yesterday, if your brain is conscious enough, you can realize it's obviously the guy is superstitious, he believes in witchcrafts. Once you practise witchcraft you are a witch/wizard , Diamond and his manager they believe in the power of darkness.
 

Good for them then.

No wonder wanakufa ki ajabu ajabu pande zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…