Boss wangu ananitaka kimapenzi la sivyo anifukuze kazi

Usiwe na utata mkuu

Tuko pamoja sana
 
19 si bibi ako kabsa mkuu uyo,? Huwa yakianzaga yanakuwa ya moto moto kweli ila ukihamia yataganda ndo utaanza kulia huku ukienda kupima tayar kale kaugonjwa kameingia hapo utatamani siku zirud nyuma ili urekebishe maamuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…