Boss wangu ananitaka kimapenzi la sivyo anifukuze kazi

Mods huu uz si mumeamua kuwa mnapunguza koment zake bas ufuten sasa

Mimi nawaachia huu naenda kufungua mwingine

Kila siku kuoneana tu
 
Umebadiki stori kichwa chini miguu juu, toa tako hilo upewe mtaji mbona ulikubalii kichwa kiingie?
 
Hivi unajiona una akili timamu? Kila siku maada za kifala unaleta kwenye majukwaa!stupid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…