BoT acheni Usumbufu juu ya pesa za watu

BoT acheni Usumbufu juu ya pesa za watu

Kutumiwa pesa toka nje ya Nchi sasa ni dhahama kubwa maofisa wa BOT wanaleta usumbufu mkubwa na baadhi wamegeuza kama kitengo cha kupigia pesa kwa kuwatisha waliotumiwa pesa kuwa watapewa kesi za utakatishaji pesa.

Utawala huu imepelekea wajanja wachache kutumia fursa hizo kujinufaisha na hapo hapo kuitengenezea BOT chuki kubwa toka kwa wafanyabiashara wakubwa na wananchi wa kawaida walioathirika na mfumo huo wa BOT ambao sasa umewapelekea baadhi ya wafanyabiashara kuhamishia pesa zao Uganda Zambia kenya kusiko na usumbufu juu ya pesa za mtu, hii ni mojawapo ya kero kubwa na imepelekea watu wengi kuzidi kumchukia Mkoloni kaburu mweusi ambaye wanaamini tarehe 28 ni bye bye na Nchi itaenda kupata uhuru upya na kuondokana na uonevu unyanyasaji uovu mwingi uliopo sasa.

Utawala huu umefitinika
 
Kisheria Ela yoyote kuanzia million 10 utoka nje ya nchi au inayoingua kwenye account yako lazima uitolee maelezo..hiyo Ni sheria dunia nzima
MI nawapenda China, hawanaga hizo za kufuatana fuatana wao ni kupiga hela tu, China,kuhusu bidhhaa ndo kabisaaa, wanafyatua mbovu, nzima mradi nchi ipate hela, kwenye ajira ni taaluma sijui cheti Cha form four wao hawana hiyo, we kafundi unaajiliwa, huku Sisi Nahisi veta na NIT mpaka ufike secondary ndo unachukuliwa, kigezo ni secondary, tumeeacha elimu ya taaluma tumeivaa elimu ya vyeti, haya tunajua dunia English ndo kila kitu, sijui ugumu uko wapi primary kuanza kufundisha Kwa kiingereza, haiwezekani Mtoto darasa la Kwanza mpaka la Saba kiswahili, harafu form one mpaka six ni English ambayo hakujifunza toka darasa la Kwanza hadi la Saba, turuhusu English Ili private schools washushe bei, kuhusu barabara tuko vizuri,umeme tuko vizuri,mambo mengi tuko vizuri, tuangalie mfumo wetu wa elimu na ajira,
 
Hii ni sheria mpya ya kipumbavu ,nadhani ilitungwa mwaka huu na bunge.Dola 2000 ni ndogo sana kutaka mtu akaitolee maelezo
Baadhi ya maofisa wa BOT wametumia fursa hizo kupiga pesa na ukipiga kelele hukutishia kukupa kesi za utakatishaji pesa
 
Ulitaka ushahidi gani?
Umeona ukisema kwa kutoa coment haitoshi ukaona uje uianzishie uzi kabisa.

Upumbavu zaidi ni hapo umeandika tu maneno ya kufikirika bila kuweka ushahidi.

Kwa taarifa yako tu huyo kibaraka wako wa Amsterdam haoati zaidi ya 20%
 
Hayo ni maelekezo kutoka kwa Magufuli
Mateso manyanyaso yote ni maagizo yake Nchi mabenk ya Nchi jirani yanatengeneza faida kubwa kwa watanzania kuweka pesa huko ambapo hakuna usumbufu kama wa BOT chombo binafsi cha Doto na mtukufu
 
Aisee yaani umetumiwa usd 5000 kwa vielelezo wanakusumbua?? Labda wamekuona kolo
Wao husumbua yeyote hata kama ana vielelezo vilivyokamilika kila idara, wahindi na baadhi ya wafanyabiashara husumbuliwa mpaka kuogopa kwenda huko hatimae hudhulumiwa pesa zao ndiyo maana wamekwenda kufungua A/C kenya Uganda Zambia ambapo wapo kama China unaingiza pesa zako bila kusumbuliwa ili mradi ile pesa itumike Nchi husika,
 
Kuanzia dola 5000 usipokuwa ngangari huzichukuchia, watu wengi mno wameporwa pesa zao lakini wametishwa kupewa kesi za utakatishaji pesa wakaamua kukaa kimya kwa hofu kubwa
Sio kweli labda kama kazi unayofanya haina connection na mataifa ya nje
 
Mkuu BOT wanaregulate all money transactions pamoja na hizo Benki. Kiasi kikubwa cha hela kikiingizwa kwenye account yako hadi BOT ijiridhishe la sivyo inarudi ilipotoka
Kwa Tanzania ni tofauti wengi hudhulumiwa pesa hairudi ilipotoka bali unadhulumiwa kienyeji na ukicheza wanakubambikia kesi ya utakatishaji fedha, BOT ya kikwete mkapa zilikuwa BOT zisizo na uonevu manyanyaso kwa wafanyabiashara wakubwa na wadogo, BOT ya mtukufu magufuli imewakimbiza wafanyabiashara kwenda kuweka pesa zao Nchi jirani na sehemu zingine Duniani.
 
Sio kweli labda kama kazi unayofanya haina connection na mataifa ya nje
Wewe siku yakikukuta ndipo utaamini, kawaulize wafanyabiashara wakubwa na wadogo watakupa kero zote za BOT nina Iman hata wewe utaanza kuwachukia kwa baadhi yao huwatishia kesi za utakatishaji fedha ili wapewe Rushwa, Tanzania ya mtukufu magufuli ni mwiba mchungu kwa wafanyabiashara
 
Kwa Tanzania ni tofauti wengi hudhulumiwa pesa hairudi ilipotoka bali unadhulumiwa kienyeji na ukicheza wanakubambikia kesi ya utakatishaji fedha, BOT ya kikwete mkapa zilikuwa BOT zisizo na uonevu manyanyaso kwa wafanyabiashara wakubwa na wadogo, BOT ya mtukufu magufuli imewakimbiza wafanyabiashara kwenda kuweka pesa zao Nchi jirani na sehemu zingine Duniani.
Yani Jiwe hovyo sana. Halafu hatosheki hana kiasi. Yeye kuiba tu toka 1995
 
Kisheria Ela yoyote kuanzia million 10 utoka nje ya nchi au inayoingua kwenye account yako lazima uitolee maelezo..hiyo Ni sheria dunia nzima
We "mataccko" una hakika na unachokisema?
 
Tumekuwa utopolo mtupu..5 more years and we are in serious poverty pond
 
Kuna taratibu za kimataifa za kuhamisha pesa na taratibu za ndani za nchi pia ambao vyote lazima vizingatiwe.
Kama umetumiwa pesa toka sehemu inayoeleweka huwezi kusumbuliwa ila lazima kufuata taratibu zinazotakiwa kuzichukua
Unaweza kusema kuanzia usd5000 zinahitaji maelezo au viambatisho kadhaa kuzichukua lakini swala zima la utakatishaji wa pesa nchi ikiwa haifuatilii ni janga. Mfano mtu toka kwenye nchi moja anaweza tuma usd5000 kwa watu100 kwa siku10 tofauti unafikiri nini kitatokea?

Kuna wakati hivi vitu vilikua havifuatiliwi haikua sawa bali ulikua uzembe wa wahusika. Sasa wameanza kufanya kazi zao sawasawa tuwapongeze. Vinginevyo tutakua tunalazimisha haramu kuwa halali. Tujifunze ku comply na matakwa ya mabank ili tusipate makwazo

Ila wapinzani wa watanzania buana, sijui nani aliyewaloga?
Yaani kila kitu mnalalama hata hamuwezi kutafakari mkachunguza faida na hasara

Hivi maana ya kuwa chama pinzani ni kupinga kila kitu? cmoney Jon Stephano Omusolopogasi
 
Wewe siku yakikukuta ndipo utaamini, kawaulize wafanyabiashara wakubwa na wadogo watakupa kero zote za BOT nina Iman hata wewe utaanza kuwachukia kwa baadhi yao huwatishia kesi za utakatishaji fedha ili wapewe Rushwa, Tanzania ya mtukufu magufuli ni mwiba mchungu kwa wafanyabiashara
Natumaini hayatokaa yanikute hayo
 
Back
Top Bottom