BoT fanyeni msako wa kushitukiza, bado ziko taasisi za kifedha zinazokaa na kadi za benki za wateja wao

Hamna kitu apooo. Navitambulisho adi chakwakokitamilikiwa na mpika chips. Acha roho mbayaaa.
Umepanick nini sasa😂😂😂😂
Wewe kakopeshe ukusanye riba halafu wakija uaweleze uhalali wa biashara yako
 
SIYO HILO PEKEE, LAKINI PIA, BOT WAFUATILIE UTARATIBU WA MIKOPO UNAOFANYWA NA HIZI BENKI KWA WATUMISHI WA SERIKALI HUSUSANI BENKI ZA POSTA NA NMB. KUNA UTAPELI MKUBWA NA DHURUMA.
 
Mkuu hiyo inaitwa chagua moja. Watoto wasile na wabaki nyumbani au kadi utuachie watoto wale na waende shule.
 
Mkuu kuna usemi"kukonda kwa mbwa siyo aibu yake, bali ni ya mwenye mbwa. Hapa namzungumzia mlipaji mshahara. Je unaendana na hali halisi ya sasa?
 

Mkuu jiulize nini kinapelekea watu kukopa na kutoa hivyo vitu kama dhamana si ajabu hata hao BOT nao wam egg liona hilo ila waangalia ugumu wa msisha ulivo acha wapoe tu maana hakuna namna maisha magumu mkuu hadi mtu anaweka bond vyeti vya shule sio mchezo
 
Mkuu kuna usemi"kukonda kwa mbwa siyo aibu yake, bali ni ya mwenye mbwa. Hapa namzungumzia mlipaji mshahara. Je unaendana na hali halisi ya sasa?
Hakuna kitu kinachoitwa MSHAHARA WA MWISHO WA MWEZI kiweze kumlinda binadamu na mahitaji yake kwa wakati husika. Hata leo wakisema kila mtumishi alipwe bilioni moja kwa mwezi ujue ukienda dukani kununua kipande cha kanga ya mama nacho kitauzwa milioni miamoja, bia moja nayo itauzwa million mbili na nusu. Kwahiyo, kupanda kwa mishahala hata iweje sahau kutajirika kwa njia ya mshahara wa mwisho wa mweziii. Au toa mfano wowote wa bilionea yoyote duniani alitajirika kwa kulipwa mshahara mkubwaaa.
 
Tatizo lingine kubwa ni sheria ya moja ya tatu inayofanya watumishi wengi wasikopesheke katika mabenki na hivyo kulazimika kukopa katika hizi taasisi za mitaani.
Huu ni wizi wa mchana kweupe, taasisi za kifedha ziwafatilie kwa karibu sidhani Kama Kuna taasisi binafsi ikaruhusiwa kufanya biashara ya kitapeli Kama hii, na riba ya 50% TRA wanalitambua hilo? Na wanatoza hiyo kodi?
 
Kwa mujibu wa regulators kupitia sheria, taratibu na miongozo adhabu kali itatolewa kwa yoyote unayekopesha fedha nje utaratibu sio kwa anayekopa

Usishangae ukijikuta keko kwa ajili ya riba ya elfu30 uliyomtoza mwananchi
Mimi nakopesha bila leseni kwa riba kubwa na ninafanya blogging bila leseni.

Haya kashtakini BoT na TCRA nikamatwe. Swine
 
HIYARI YASHINDA UTUMWA HESHIMU MAKUBALIANO MLIYOINGIA ULIPOKEA PESA USIONE UCHUNGU KULIPA DENI NDG LIPA ILI UKOPE TENA NA TENA
 
Kariakoo kubwa, mtaa na jina au .no ya nyumba. Weka na vivuli vya leseni yako ya biashara
 
Naomba kujuzwa ni nchi gani duniani mshahara wake hutosha kwa matumizi ya vile roho inataka na ukabakia na machenji yasiyo na kazi
🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…