BOT kushusha riba za mikopo ni mpaka waagizwe ili hali wao ndio wataalam wa kushauri zishuke?

Kiongozi. Unashangaa BOT kupewa maagizo na wanasiafu, juzi Kati wataalam wa afya waliambiwa wasivae barakoa Hadi waziri ambae Ni daktari akakubali na kulivalia njuga huku akihatarisha Maisha ya watanzania.
Dada Joy nae aliambiwa hata wanafunzi wa PCB na PCM wasomeshwe historia akakubali bila hata kuwaconsult watu wa mitaala.
Bahati nzuri.....
 
Sadly ni wachache sana watakaoelewa hii chief
Acha kukalili uchumi wa makaratasi........Iran inflation rate ni kubwa mno mara elfu ya Tanzania......ila raia wake wapo uchumi wa kati,education ni bora,vyakula vimejaa na hadi wanarusha satellite na kuikopesha nchi yenye wachumi wa makaratasi kama wewe
 
Nenda Zimbabwe
 
1 usd =40,000 Iran Rial
1 Tsh=18 Iran Rial
Ila Irani ipo uchumi wa juu kitambo sana hadi kuikopesha Tanzania,acheni kukariri na videgree vyenu uchwara vya makratasi
 
Nani kakudanganya kijana......unazungumzia NBC ya Tz,au KBC ya Kenya,kuita riba zao za kinyonyaji eti Islamic Banking.........[emoji16][emoji16],au unazungumzia Islamic Bankings za Algeria,Libya,Saudi Arabia na U.A.E?
 
Yaani kuufananisha uchumi wa Iran na Tanzania tayari inaonesha wewe ni clueless wa mambo,To be fair.
 
Inaonekana hujui metrics za uchumi na implications zake. Kusema kuwa Iran wana maisha mazuri pamoja na inflation kubwa siyo madai sahihi; vinginevyo wairan wasingekuwa wanatafuta namna ya kukimbia nchi. Kila siku mimi hupokea maombi ya wairani takriban kumi kuja kusoma marekani na kuikimbia iran kabisa. Miaka 20 iliyopita hakuna raia wa Iran alikwenda kusoma nje na kurudi Iran.
 
Yaani kuufananisha uchumi wa Iran na Tanzania tayari inaonesha wewe ni clueless wa mambo,To be fair.
Kufananisha uchumi uliosoma kwenye makaratasi,(kiuhalisia,vitabu havijatungwa na waTZ).....inaonesha kabisa kiwango cha ujinga wako na in general wasomi wa kiafrica,...
 
Jamaa bado anaamini uchumi unajengwa na elimu ya kimitishamba
 
Wairan Kwenda Marekanj hilo ni jambo la kukushangaza?.........ingekua wanakimbilia Tanzania,D.R.C ama msumbiji hoja yako ingekua na mashiko.......enhe huko U.S toka uende umepoka wachina na WA India wangapi?[emoji16][emoji16],.....nao uchumi wao ni fragile?
 
Kufananisha uchumi uliosoma kwenye makaratasi,(kiuhalisia,vitabu havijatungwa na waTZ).....inaonesha kabisa kiwango cha ujinga wako na in general wasomi wa kiafrica,...
What's the point ya wewe kujiona mwerevu wakati point unazotumia ku argue ni primitive?
 
Jamaa bado anaamini uchumi unajengwa na elimu ya kimitishamba
Huo uchumi muliokalili chuo umelisaidia nini Taifa ......thus why wanasiasa wanaweza adjust mambo na kisiharibike kitu......maana huko chuo vitabu hata vya uchumi si vya Tanzania......kisha mjinga mmoja anaongea eti usiige uchumi wa nchi fulani.
 
Huo uchumi muliokalili chuo umelisaidia nini Taifa ......thus why wanasiasa wanaweza adjust mambo na kisiharibike kitu......maana huko chuo vitabu hata vya uchumi si vya Tanzania......kisha mjinga mmoja anaongea eti usiige uchumi wa nchi fulani.
Hata mwendazake alikuwa na mawazo kama yako akiamini mawazo ya mitishamba badala ya sayansi 🤣 🤣 🤣 sasa hivi anapiga kwaya mawinguni."Hakuna umaskini mbaya kama umaskini wa kukosa elimu"-Nyerere.
 
What's the point ya wewe kujiona mwerevu wakati point unazotumia ku argue ni primitive?
Point ni wachumi muliosoma kwenye makaratasi musijifanye wataalam sana
....eti kumpangia rais sijui ujinga ujinga gani muliokariri shule.......dunia imebadilika,sio dunia ya kukariri vitabu tena hii.....by the way last 10 years hakua na vitu kama DEFI,BLOCKCHAINS,cryptocurrencies etc......hivyo vyote vina implications kwenye economy ya sasa almost........mambo ya interest rates,demand and supply,inflation rates ni mambo ya uchumi wa zama za kale munaokariri huko chuo kikuu.....Wachumi wa B.O.T wameshindwa kuruhusu hata matumizi ya PayPal kupokea pesa kwa vijana wafanya biashara Tanzania,nao wapate riziki,wafungue economy,ku-export skills.....sasa ninyi wachumi munafata nini huko,zaidi tu kukalia ujinga ujinga na matejory muliokariri kwenye books zama za mawe
 
Hata mwendazake alikuwa na mawazo kama yako akiamini mawazo ya mitishamba badala ya sayansi [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] sasa hivi anapiga kwaya mawinguni."Hakuna umaskini mbaya kama umaskini wa kukosa elimu"-Nyerere.
Mwendazake sio ndio aliowaweka wachumi waliokariri vitabu na wenye GPA Kali ile exposure sifuri na si ndio waliotufikisha hapa......eti interest rate ikishuka,iflation itatoke.......yaani michumi hata haijui umuhimu wa lower interest rate in economy......kwani kila mtu atakua tu anakopa kijinga kadri anavojisikia?
 
Pumba tupu; unaongea mawazo yako bila kuwa na uhalisia. Darasa langu moja kila semester lina wanafunzi wasipungua 15 kutoka China na India peke yake1
 
Pumba tupu; unaongea mawazo yako bila kuwa na uhalisia. Darasa langu moja kila semester lina wanafunzi wasipungua 15 kutoka China na India peke yake1
Kama ingekua kua na elimu kubwa ama kua na maprofesa wengi ndio uchumi mkubwa......Nigeria ingekua na HDI kubwa kuliko Algeria,Morocco........South Africa ingekua na uchumi stable kuliko Kuwait kwenye vyuo vikuu vinavohesabika........dunia imeshahama kutoka wasomi wanaokariri vitabu vilivotungwa na wenzako,kuja kwenye watu wanaofanya vitu vipya wao wenyewe.........sasa kwani kua mwalimu wa chuo ndio uje kututisha humu jamvini?.......[emoji16][emoji16][emoji38]
 
Niliyasema wapi hayo maneno mkuu ? 🤣 🤣 🤣 Au ndo kuwasilisha mawazo yako yenye wazimu kupitia migongo ya wengine 🤣🤣🤣
 
Pumba zaidi! Unachanganya mambo mbalimbali ili usikike; nani alikwambia uunge ndimu kwenye wali?
 
1 usd =40,000 Iran Rial
1 Tsh=18 Iran Rial
Ila Irani ipo uchumi wa juu kitambo sana hadi kuikopesha Tanzania,acheni kukariri na videgree vyenu uchwara vya makratasi View attachment 1823569
Hapo unampotosha.... Yeye amesema Tanzanina inategemea kuimport kila kitu kiufupi Next exports mara nyingi ni negative. Sasa kama hela yako haina thamani obviously utateseka. Iran ina Exports bidhaa za $107 B huku ina Import $54 B pekee!! Sasa hapo huoni currency devaluation ama inflation ni sustainable sababu wanaingiza pesa nyingi za kigeni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…