DOKEZO BoT, TCRA na TRA hivi hizi Taasisi za Mikopo ya Online zipo Kisheria na zinalipa kodi?

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hizi app ziko nyingi sana aisee ukiamua kucheza nao hukosi 1m +
Maana kuna:
  1. PesaX
  2. M-Safi
  3. Zima Cash
  4. Twiga Loan
  5. Cash X
  6. OnePesa
  7. Mkopo haraka kwa dakika mbili
  8. BongoPesa
  9. FiniLoan
  10. SilkLoan
  11. MkopoFasta
  12. Ustawi Loan
  13. MkopoWako
  14. PesaM Loan
  15. Okoa Maisha
  16. Branch
Hatari sana ho jamaa
 
Hizi app ziko nyingi sana aisee ukiamua kucheza nao hukosi 1m +
Maana kuna:
  1. PesaX
  2. M-Safi
  3. Zima Cash
  4. Twiga Loan
  5. Cash X
  6. OnePesa
  7. Mkopo haraka kwa dakika mbili
  8. BongoPesa
  9. FiniLoan
  10. SilkLoan
  11. MkopoFasta
  12. Ustawi Loan
  13. MkopoWako
  14. PesaM Loan
  15. Okoa Maisha
  16. Branch
Hawa wote huenda ni matapeli tu hawana hata leseni.
 
Walinipa 55k baada ya siku 8 wanataka niwalipe 78k....na hapo siku ya sita ndio walianza vurugu za kunipigia simu zao za mikwara mbuzi.

Imagine from 55k to 78k in 8 days.

Nilifuta app yao na kublock namba zao zote.
Serikali inawalea hawa watu sijui ni kwa masilahi ya nani kwakweli.
 
Mi nimewakopa wote kama 20 hivi nikapata kama 800K wamepiga simu mpaka wamesanda, naona sahivi wameniblacklist hata nikibadili nikope kwa namba nyingine washanijua hawanikopeshi tena
 
Unajaza namba wa wadhamini wakati kujisajiri. ndugu, rafiki, mfanyakazi mwenzako n.k hao ndio watatafutwa usipolipa kwa wakati
Siku hizi wenyewe wanaingia kwenye contacts zako na kuchagua wakudhalilishe kwa jamaa yako yupi?
Me i am very smart. Mpaka Sasa hawajapata hata namba moja kwenye contact list yangu. Hata namba yangu ya NIDA hawana.
Siku wakiacha matusi ndio siku ya kuwalipa.
 

Hii research baada ya kuikamilisha, mliwakilisha kwenye vyombo husika?
 
Nahisi nimemuona anayetuma hizo sms.juz nipo kwenye daladala dada mmoja akawa anafoka sana kwenye simu na kumwambia mtu anayeongea nae nanukuu"wewe nimeshakuamnoa lipa kama huamini tutawaambia watu wote kwenye phonebook yako"
 
Siku hizi wenyewe wanaingia kwenye contacts zako na kuchagua wakudhalilishe kwa jamaa yako yupi?
Wakati wa kujisajiri unawapa access ya kureview contacts zako. Kwaiyo watu u aowasiliana nao mara kwa mara wanawaona ndio hao watakaosumbuliwa ukichelewesha malipo
Siku wakiacha matusi ndio siku ya kuwalipa
Mkuu kama ni kweli ulikopa na ukakubaliana na masharti ni busara tu ukawalipa, mtu yoyote ukimcheleweshea malipo yake lazima atakua mkali
 

Dr. Mwigulu Nchemba hivi kwanini msizuie mitandao ya simu kutumika katika kutoa hiyo mikopo na kupokea marejesho ya hiyo mikopo umiza ya hizi App za mitandaoni?

Au mpaka wapinzani na wanaharakati wapige kelele?

Kwanini mko irresponsible kwa kiwango hiki?
 
Zipo taasisi za wakulungwa kama Mama Salma Kikwete Foundation, Tulia Trust Foundation, Joketi Foundation, Mo Foundation nk. Sasa hapo unataka sheria za Kodi nani awabanebane hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…