Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sana ho jamaaHizi app ziko nyingi sana aisee ukiamua kucheza nao hukosi 1m +
Maana kuna:
- PesaX
- M-Safi
- Zima Cash
- Twiga Loan
- Cash X
- OnePesa
- Mkopo haraka kwa dakika mbili
- BongoPesa
- FiniLoan
- SilkLoan
- MkopoFasta
- Ustawi Loan
- MkopoWako
- PesaM Loan
- Okoa Maisha
- Branch
Hawa wote huenda ni matapeli tu hawana hata leseni.Hizi app ziko nyingi sana aisee ukiamua kucheza nao hukosi 1m +
Maana kuna:
- PesaX
- M-Safi
- Zima Cash
- Twiga Loan
- Cash X
- OnePesa
- Mkopo haraka kwa dakika mbili
- BongoPesa
- FiniLoan
- SilkLoan
- MkopoFasta
- Ustawi Loan
- MkopoWako
- PesaM Loan
- Okoa Maisha
- Branch
Serikali inawalea hawa watu sijui ni kwa masilahi ya nani kwakweli.Walinipa 55k baada ya siku 8 wanataka niwalipe 78k....na hapo siku ya sita ndio walianza vurugu za kunipigia simu zao za mikwara mbuzi.
Imagine from 55k to 78k in 8 days.
Nilifuta app yao na kublock namba zao zote.
Siku hizi wenyewe wanaingia kwenye contacts zako na kuchagua wakudhalilishe kwa jamaa yako yupi?Unajaza namba wa wadhamini wakati kujisajiri. ndugu, rafiki, mfanyakazi mwenzako n.k hao ndio watatafutwa usipolipa kwa wakati
Our CFO already published a research article referencing these Spy Loan Apps. You can read more from here:
https://www.researchgate.net/public...Tanzania_and_is_exploiting_Tanzanian_Citizens
and
View: https://medium.com/@brotheralameen/malware-research-shows-that-spyloan-apps-have-entered-tanzania-and-is-exploiting-tanzanian-76ae9d2bb23f
In this research, we see the approach of Spy Loan Malware Apps in Tanzania, fake financial apps used by loan shark scammers who provide high interest rates by laundering money from victims. The threat actors (In this case, the scammers) then use the data to harass their victims who refuse to pay their money by means of extortion and blackmail, while the rest of their data remains in the cloud in China.
Thus, a proof of cyber-espionage happening in Tanzania by the Chinese and the apps being a National Security Threat posed by the Chinese. The article explains what to do by Law if you've fallen victim for this scam as well.
These threat actors use the app to obtain access to your devices contacts and the rest of your device, including your WhatsApp, Gmail and everything (They have full access and control of your device) and send this data to their servers as well. Thus, identifying the app as a malware.
They use your data to contact people in your phone book to harass and intimidate them to contact you to repay their money as well. Furthermore, they can use them to threaten you and cause conflicts. This security research (Since of course, our CFO is both our CFO and Forensic Analyst) shows detailed explanation of how all this happens and how the app does this.
Nahisi nimemuona anayetuma hizo sms.juz nipo kwenye daladala dada mmoja akawa anafoka sana kwenye simu na kumwambia mtu anayeongea nae nanukuu"wewe nimeshakuamnoa lipa kama huamini tutawaambia watu wote kwenye phonebook yako"hawa jamaa ni changamoto kwakweli nilikopa pesa juzi marejesho ilikuw leo asubuh lakin kutokana na hali ya hewa na nilipokuw ni changamoto kidogo!!! lakini wakawapigia ndugu zangu wote simu kuwa wananidai na ikiwa hata siku haijapita na msg zao juu!!! hawa jamaa hawana customer care nzurView attachment 2821916
Wakati wa kujisajiri unawapa access ya kureview contacts zako. Kwaiyo watu u aowasiliana nao mara kwa mara wanawaona ndio hao watakaosumbuliwa ukichelewesha malipoSiku hizi wenyewe wanaingia kwenye contacts zako na kuchagua wakudhalilishe kwa jamaa yako yupi?
Mkuu kama ni kweli ulikopa na ukakubaliana na masharti ni busara tu ukawalipa, mtu yoyote ukimcheleweshea malipo yake lazima atakua mkaliSiku wakiacha matusi ndio siku ya kuwalipa
Our CFO already published a research article referencing these Spy Loan Apps. You can read more from here:
https://www.researchgate.net/public...Tanzania_and_is_exploiting_Tanzanian_Citizens
and
View: https://medium.com/@brotheralameen/malware-research-shows-that-spyloan-apps-have-entered-tanzania-and-is-exploiting-tanzanian-76ae9d2bb23f
In this research, we see the approach of Spy Loan Malware Apps in Tanzania, fake financial apps used by loan shark scammers who provide high interest rates by laundering money from victims. The threat actors (In this case, the scammers) then use the data to harass their victims who refuse to pay their money by means of extortion and blackmail, while the rest of their data remains in the cloud in China.
Thus, a proof of cyber-espionage happening in Tanzania by the Chinese and the apps being a National Security Threat posed by the Chinese. The article explains what to do by Law if you've fallen victim for this scam as well.
These threat actors use the app to obtain access to your devices contacts and the rest of your device, including your WhatsApp, Gmail and everything (They have full access and control of your device) and send this data to their servers as well. Thus, identifying the app as a malware.
They use your data to contact people in your phone book to harass and intimidate them to contact you to repay their money as well. Furthermore, they can use them to threaten you and cause conflicts. This security research (Since of course, our CFO is both our CFO and Forensic Analyst) shows detailed explanation of how all this happens and how the app does this.
Makumbusho maeneo gani tupe maelekezo mtaa na jengo usika99% hapo ni kampuni moja hiyo ya wachina wapo Makumbusho pale ila wana app zaidi ya 20 kwa majina tofauti