BOT: Uchumi wa Tanzania umekua kwa asilimia 5.4%. Hongera Rais Samia, hongera Comrade Mwigulu

Kazi nzuri ya serikali ya awamu ya 6 inakuza biashara 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220927-131947.png
    75.8 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220927-132020.png
    56.5 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220927-132042.png
    49.1 KB · Views: 6
Sio biashara tuu hata mikopo ya biashara kwa sekta binafsi imekua kwa Kasi kubwa Sana 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220927-131832.png
    77.5 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220927-131856.png
    49.3 KB · Views: 5
Ni Kweli kabisa, Uchumi wa Wala RUSHWA umekua sana. Tena sanaaa.

Yaani watu wachache wamejilimbikizia pesa nyingi ambazo ukitafuta wastani Kwa Watanzania ml 60 utaonekana umekua.

Uchumi wa KUNDI DOGO unajumlishwa na Uchumi wa hohehahe wengi halafu unatafuta wastani, pesa za matajiri wachache ktk mahesabu zinanuanyua Uchumi wa maskini kwenye MAKARATASI.
 
🤣🤣🤣
Mimi nachotaka kusikia nchi imerudi uchumi wa kati. Longolongo zenu sina haja nchi ikue kiwango gani kwa mwezi mnajua nyie chawa.
Sisi tuliumia sana. Jpm kaacha nchi uchumi wa kati kuingia tu huyo 'koko' akagawa hela ovyo kwa wezi na fisadi katurudisha chini uchumi ukashuka.
Mwenzake alikua anabana. Kulipa madeni ya serikali kwa wafanyabiashara wa ndani hadi ahakiki. Madeni mengi ya ndani hua ni feki kwa kutolewa huduma hewa au kutumika viwango vya wizi. Sasa mtu kaingia tu na rafiki zake wafanyabiashara fisadi kasema madeni yote ya ndani lipa.
 
Bado hizi juhudi za kupika data hazimtoi Mwigu ktk hatari ya Kufukuzwa.
 
Bado hizi juhudi za kupika data hazimtoi Mwigu ktk hatari ya Kufukuzwa.
Pole sana hater..

Moja ya kiashiria muhimu kabisa Cha kuimarika kwa uchumi ni kuongezeka kwa makusanyo ya Mapato..

Soma hiyoo 👇
 

Attachments

  • 20221001_231632.jpg
    258.9 KB · Views: 6

Kitu kizuri
 
Tupe za uhalisia mkuu ikiwa exports zimeongezek,utalii umeongezeka,huduma mbalimbali zinaongezeka, makusanyo ya serikali yanaongezeka nk wewe unasema ni blaa blaa?

Saizi hadi Vijijini huko Kuna lami [emoji116]

Uchafuu
 

Madini haya
 
Safi sana Tanzania
 
Rais Samia hafanyi mzaha na Uchumi na yuko serious na kadhamiria kweli kweli..

New EPZ at Mkinga EPZ-Tanga,zaidi ya Bil.700 zinaenda kuwekezwa👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220930-092921.png
    111.5 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…