BOT: Uchumi wa Tanzania umekua kwa asilimia 5.4%. Hongera Rais Samia, hongera Comrade Mwigulu

DANGANYA DANGAYA YA AWAMU YA 5 IMERUDI TENA
Wewe hater ni WA kukupa pole..

Uchumi kama haukui serikali ingepata wapi jeuri ya kuajiri walimu wapya zaidi ya 40,000 mwaka huu?👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220926-213044.png
    Screenshot_20220926-213044.png
    80.9 KB · Views: 5
Huwa wanatangaza kuwa mapato yameongezeka kila mwezi lakini cha ajabu mabadiliko huwa hayaonekani,muda unavyozidi kwenda mambo yanakuwa magumu zaidi afadhali ya ilivyokuwa nyuma.Au hizi data ni za kupika ili kumfurahisha anayependa kusifiwa tu kilasiku?
 
Mabadiliko hayaonekani? Uwe unafikiria basi kabla ya kuongea 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220930-112338.png
    Screenshot_20220930-112338.png
    81.8 KB · Views: 5
  • IMG_20220917_125932_315.jpg
    IMG_20220917_125932_315.jpg
    1.2 MB · Views: 5
  • IMG_20220918_121950_104.jpg
    IMG_20220918_121950_104.jpg
    817 KB · Views: 5
  • IMG_20220918_130159_873.jpg
    IMG_20220918_130159_873.jpg
    830.5 KB · Views: 5
  • IMG_20220917_125942_512.jpg
    IMG_20220917_125942_512.jpg
    1 MB · Views: 5
Ukuaji wa uchumi kwa nchi za Afrika, mara nyingi ni wa kuitia wawekezaji...

Kutokana na mfumko wa bei haiwezekani uchumi ukue, mfumko wa bei huathiri ukuaji wa uchumi...

Haiwezekani bei ya kitu iongezeke afu uchumi ukue

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
"Watanzania tutembee kifua mbere, Uchumi wa nchi upo kwenye right tracker"(in Jiwe voice)
Nchi ngumu hii!🤣🤣🤣🤣🤣
 
Attachments

  • 1663599606091.mp4
    8.9 MB
Nawasalimu kwa jina la JMT,

Kwa mujibu wa Gavana wa BOT Prof. Luaga, uhumi wa Tanzania umekuwa kwa asilimia 5.4% kwa robo ya kwanza ya mwaka 2022 kinyume na malengo ya matarajio yaliwekwa ya ukuaji wa asilimia 4.7%.

Moja ya sekta zilizochangia ukuaji mkubwa ni kuimarika kwa sekta ya utalii.

Kwa mwendo huu "The future is bright na nchi iko kwenye right track", in Jiwe's voice.

Kongole nyingi sana kwa Rais Samia na Waziri wa Fedha Comrede Mwigulu.👇View attachment 2367489View attachment 2367490
Uchumi wa kwenye makaratasi huku maisha magumu inflation ya vitu na hasa chakula ni balaa. Last month nilikuwa huko kwetu mkoani aisee vyakula bei ghali na kila kitu nikaona afadhali huku dar maana nilikuwa nadhani wao wana afadhali.
 
Sawa ingekuwa ni WA kwenye makaratasi na maisha magumu huko mtaani ungekuta hakuna ujenzi unaendelea.
 
Majority wanalia na kusaga meno hata uchumi wa zimbabwe ulipoanguka bado kuna waliokuwa wanajenga na kutumbia pesa hivyo hoja yako haina mashiko. Kuna inflation kubwa mtaani wakati kipato cha mwananchi wa kawaida kiko vile vile
 
Kwani ni lini majority walikuwa na Hali njema kuzidi awamu hii? Mfano wako ni irrelevant.

Ndio maana ya uchumi kukua sasa kwamba maskini wanazidi kupungua japo kwa Kasi ndogo..

Kwa sababu kiuchumi Ili walau uwapunguze hao maskini Kwa nusu growth inatakiwa kuwa 10% na zaidi kwa miaka isiyopungua 10 mfululizo..

Mwendazake alipokea uchumi tuko kwenye 7% akaharibu badala ya kuongeza growth so tuko kwenye recovery,sasa uchumi unakua mtu Unapinga hizo ni chuki binafsi..
 
Mkuu hata kama ni hali mbaya waliyokuwa nayo sasa imezidi sana mkuu. Vyakula vimepanda sana sana na unajua kuwa chakula ni hutaji la kwanza la mwanadamu.
Mkuu hivi kweli wewe huoni maisha ya mtanzania yalivyokuwa magumu kutokana na inflation hii?
Mwendazake na uchumi wapi na wapi na hata hawa wazee wa tozo nao ni wakutilia shaka
 
Vyakula vimepanda Bei fine je vipato vimepungua? Mfano vyakula vinatoka kwa mkulima na mfanyabiashara akiuza Kwa bei ya Juu kipato kinapungua au kinaongezeka?

Kamuulize mkulima anataka arudi kuuza elfu 20 au auze Kwa bei ya Sasa?
 
Huyo mkulima naye ela aliyoipata ataenda kununia vitu vingine ambavyo hazalishi kwa bei juu tu.
Yank ni sawa umuongezee mfanyakazi wa serikali mshahara wakati kuna tozo na inflation yanj itakuwa sawa usimwongeze uondoe tozo na inflation maana ela yake itakuwa na thamani kuliko iliyo kwenye hiyo nyongeza na inflation iliyopo
 
Ndio maana ya kipato kuongezeka.. Nimesema hivi kamuulize mkulima kama anataka kurudi Misri..

Hizi ni kelele za watu wa Mjini,mkiona gharama ni kubwa nendeni mkalime ila sio kunyonya jasho la mkulima..

Tokeni kuuza maji Mjini kalimeni mkiongeza uzalishaji mtanunua Kwa bei mnazotaka.
 
Mkuu nimekwambia nilikuwa mkoa huko tena vijijini hali ni mbaya sana. Hakuna binadamu anayejitosheleza hata mkulima hazalishi kila kitu.
Tusiwe kama ostrich akitichq kicha chake kwenye udongo akawa hamwoni adui anadhani na adui hamwoni.
Hii ni inflation inahatarisha maisha ya watanzania na ni inflation kwenye kila aina ya bidhaa. Uwezo wa 10,000 kulisha familia now umepotea maana karibia bei kila kiti imedouble
 
Back
Top Bottom