BoT yaomba radhi: Ni baada ya kukosea na kusema Milioni 300 badala ya Bilioni 300

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,390
Editorial correction to the Directors Report for year ended 30th June 2017. Paragraph 13: Results and dividends on page 13 of the Report of the Controller and Auditor General on the Reports and Annual Financial Statements for the year ended 30th June 2017 posted in the Bank of Tanzania website indicated that the dividend payable to the Government as TZS 300.0 million. The Bank wishes to correct the amount in this paragraph to read TZS 300.0 billion. The dividend payable figures to the Government on pages 27, 80 and 82 are correct as reflected in the report. The Bank apologises for this error

http://www.bot.go.tz/Adverts/PressRelease/Editorial_Correction.pdf

rejea hapo chini
Dkt Mlundwa: Zitto atofautishe Uchumi na Uhasibu

Prof. Beno Ndulu: Chungu cha BOT kina fedha za kutosha, nimeacha akiba ya fedha za kigeni Dola bilioni 6

Kufilisika kwa mabenki Tanzania: Ni kukua au kuanguka kwa uchumi?
 
Ina maana hawakupitia hayo yote hadi mtu wa nje ndiye asome
 
Ww ndio hujaelewa walichorekebisha hapo ni typing error kuwa badala ya billion 300 waliweka milioni mia 300 hawajaogelea habari za maingizo na faida Dr Mlundwa bado yupo sahii Zito amechemka

Mpaka hapo na wewe hujaelewa. kazi ipo Tz
 
Imekubali hoja ipi ya Zitto Kabwe?

Kabwe hakuzungumzia kosa la kiuandishi 300 billion kuwa 300 million, Kabwe alihoji mantiki ya namna gani dividend ya 300 billion inapatikana kwenye faida ya 200 billion?

Msimpe kiki za kijinga huyu mvaa hirizi.
 
umepaniki sana mkuu!
 
mbona umepaniki hivyo!?
yule dokita uchwara kawapotosha Lumumba.
 
Imekubali hoja ipi ya Zitto Kabwe?

Kabwe hakuzungumzia kosa la kiuandishi 300 billion kuwa 300 million, Kabwe alihoji mantiki ya namna gani dividend ya 300 billion inapatikana kwenye faida ya 200 billion?

Msimpe kiki za kijinga huyu mvaa hirizi.
Umepanic sana, mpaka umejichanganya kuwa zitto ndiyo mvaa hirizi? Njoo baadae kajipange au uliza hapo jirani nani mvaa hiziri
 
Editorial correction to the Directors Report for year ended 30th June 2017. Paragraph 13: Results and dividends on page 13 of the Report of the Controller and Auditor General on the Reports and Annual Financial Statements for the year ended 30th June 2017 posted in the Bank of Tanzania website indicated that the dividend payable to the Government as TZS 300.0 million. The Bank wishes to correct the amount in this paragraph to read TZS 300.0 billion. The dividend payable figures to the Government on pages 27, 80 and 82 are correct as reflected in the report. The Bank apologises for this error

http://www.bot.go.tz/Adverts/PressRelease/Editorial_Correction.pdf

rejea hapo chini
Dkt Mlundwa: Zitto atofautishe Uchumi na Uhasibu

Prof. Beno Ndulu: Chungu cha BOT kina fedha za kutosha, nimeacha akiba ya fedha za kigeni Dola bilioni 6

Kufilisika kwa mabenki Tanzania: Ni kukua au kuanguka kwa uchumi?
Hoja gani ya zitto imekubaliwa kwenye tangazo hilo la BOT?? Au lugha inakupiga chenga?? Hapo wana sahihisha typing error million to Billion!!
 
Lakini pia hiyo ni hoja mkuu. Hoja ya marekebisho....
 
Kuna Dr wa darasa la 4 alitoa mapovu jana, atakuwa kutofautisha Historia na Fizikia
Mkuu,ndo ma Dr wetu hawa hawaaa wanaotufundishia vijana huko vyuoni.ajabu sanaa haka ka nchi.

Nchi ambayo huwezi tofautisha kati ya aliyesoma na asiyeye soma,mwenye PhD na asie na hata elimu ya sekondari
 
Hoja gani ya zitto imekubaliwa kwenye tangazo hilo la BOT?? Au lugha inakupiga chenga?? Hapo wana sahihisha typing error million to Billion!!
Kweli naamini ule usemi usemao kama elimu ghali chagua ujinga.

umeamuwa kuchagua ujinga pole sana. shame
 
Back
Top Bottom