Emar
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,789
- 2,965
Tatizo sijui ni ukurupukaji au vp?
Watu wamewekeza mamilioni uko mkuu
Watu wamewekeza mamilioni uko mkuu
Hawa wazee ni wapumbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wazee ni wapumbavu
Nchi inajitenga.
Ina maana wameshindwa kufuata sheria za kimataifa kuhusu hizi transaction?
Pumbavu kabisa
Tuliwaambia muachane na Mambo ya Bitcoin hamkuelewa
Kuna tofauti ya kuzuia transaction na kutokuitambua..Kaka Achana na transaction ,
Kuna Watu wamewekeza milion of money?
Inamaana kama serikali imeshindwa kuitambua ! Vp kuhusu hao watu?
Naje vp tutafika uchumi wa kati kwa style hii
Kwann serikali inatabia zakibwengu hiviHabari wana jukwaa,
Kabla ya kuanza huu uzi napenda kunukuu maneno ya marehemu Ruge" Ogopa sana Mungu na technology" .
Haya sasa naomba niulize je tunawezaje kusonga mbele pasina technology?
Na je technologia inazuirika?
Zipi hasara za kuizuia au kuchelewa kuifahamu?
Binadamu amepitia zama nyingi sana kama zama za mawe, chuma n.k
Sasa lengo la zama au vipindi vyote hivyo ni kuweza kuyakabiri mazingira na changamoto za kiuchumi , kiutamaduni n.k ndani yake. Zama tulizonazo sasa ni zama za sayansi na technologia na hii ni katika nyanja za kiuchumi, kiutamaduni , na kijamii mambo mengi yanaenda na sayansi.
Ajabu ni kwamba Bot anashindwa kuendana nayo kwa sababu zaifu. Bot kama chombo kikubwa cha usimamizi wa fedha imetangaza kutoitambua pesa ya kidigitari maarufu kama Cryptocurrence.
nahii imekuja kutokana na Wimbi la watu wengi kuingia kuwekeza huko. Namaana yake hii biashara inaenda kufa Tz, Je hii ni sawa?
Na vp kuhusu watu waliyowekeza mamilioni huko?
Ila vipi fursa ya biashara hii kwa siku za usoni?
China ilikuwa miongoni mwa nchi zilizo piga marufuku biashara hii. Lakini sasa imeruhusu hii biashara na kusababisha kuongezeka thaman nafikiri kwa watu mnaofatilia mmeliona hili, Marekani ni moja ya nchi ambayo mabilionea wake wamewekeza kwenye Cryptocurrence.
Nasasa ukienda nchi zilizoendelea kuna ATM za Cryptocurrence (Bitcoin), pia
Kuna makampuni yanayotoa mikopo kwa dhamana ya Bitcoin.
Je Tz kwa kupitia BOT hawaoni fursa ya nchi kubwa kuwekeza huko. Kama sijakosea hata Rais wa Kenya Mr.kenyata aliongelea positive hii biashara . Tz tunakwama wapi?
Kwamtazamo wangu naenda kinyume na BOT kwa kutoa sababu dhaifu.
View attachment 1261444
Cryptoccurency haiepukiki katika dunia tunayoishi nayo Sasa. Sema mabenki yanajaribu kuiepuka sababu dhumuni la Bitcoin ni kuondoa paper money na kuziondoa benki Kama financial middle man duniani. Bitcoin ikishika hatamu mabenki yanakufa Cha mende.Habari wana jukwaa,
Kabla ya kuanza huu uzi napenda kunukuu maneno ya marehemu Ruge" Ogopa sana Mungu na technology" .
Haya sasa naomba niulize je tunawezaje kusonga mbele pasina technology?
Na je technologia inazuirika?
Zipi hasara za kuizuia au kuchelewa kuifahamu?
Binadamu amepitia zama nyingi sana kama zama za mawe, chuma n.k
Sasa lengo la zama au vipindi vyote hivyo ni kuweza kuyakabiri mazingira na changamoto za kiuchumi , kiutamaduni n.k ndani yake. Zama tulizonazo sasa ni zama za sayansi na technologia na hii ni katika nyanja za kiuchumi, kiutamaduni , na kijamii mambo mengi yanaenda na sayansi.
Ajabu ni kwamba Bot anashindwa kuendana nayo kwa sababu zaifu. Bot kama chombo kikubwa cha usimamizi wa fedha imetangaza kutoitambua pesa ya kidigitari maarufu kama Cryptocurrence.
nahii imekuja kutokana na Wimbi la watu wengi kuingia kuwekeza huko. Namaana yake hii biashara inaenda kufa Tz, Je hii ni sawa?
Na vp kuhusu watu waliyowekeza mamilioni huko?
Ila vipi fursa ya biashara hii kwa siku za usoni?
China ilikuwa miongoni mwa nchi zilizo piga marufuku biashara hii. Lakini sasa imeruhusu hii biashara na kusababisha kuongezeka thaman nafikiri kwa watu mnaofatilia mmeliona hili, Marekani ni moja ya nchi ambayo mabilionea wake wamewekeza kwenye Cryptocurrence.
Nasasa ukienda nchi zilizoendelea kuna ATM za Cryptocurrence (Bitcoin), pia
Kuna makampuni yanayotoa mikopo kwa dhamana ya Bitcoin.
Je Tz kwa kupitia BOT hawaoni fursa ya nchi kubwa kuwekeza huko. Kama sijakosea hata Rais wa Kenya Mr.kenyata aliongelea positive hii biashara . Tz tunakwama wapi?
Kwamtazamo wangu naenda kinyume na BOT kwa kutoa sababu dhaifu.
View attachment 1261444
Serikali Haina enough knowledge na huu mfumo wa encycripted transaction and investment.Kwann serikali inatabia zakibwengu hivi
FactCryptoccurency haiepukiki katika dunia tunayoishi nayo Sasa. Sema mabenki yanajaribu kuiepuka sababu dhumuni la Bitcoin ni kuondoa paper money na kuziondoa benki Kama financial middle man duniani. Bitcoin ikishika hatamu mabenki yanakufa Cha mende.
Ukiona kitu Hadi Billget mwenye world class financial advisor Kainvest ujue ni legitimate.
Sio kutohusika tu, Kuna wafanyabiashara wanaouza Bitcoin kwa pesa ya Tshs kwa maana yao BOT hao pia wanatenda kosa kisheria na wanauwezo was kuwafungulia mashtaka.Kuna tofauti ya kuzuia transaction na kutokuitambua..
Wanaposema hawaitambui ni kwamba likitokea la kutokea wao hawahusiki..its on your own risk
Ujui unachokiongea ww ni smart kuliko billagate kwny biashara ?Ni maamuzi ya busara ambayo yamekuja kwa kuchelewa.
Hizi biashara za janja janja ni sumu kwa kizazi kijacho.
Sasa ni zamu ya makamari ya Wachina na michezo ya kubet, fyekelea mbali.
Tuliwaambia muachane na Mambo ya Bitcoin hamkuelewa
Shida ikwapi si kila mtu anasaka mkwanja kivyakeSio kutohusika tu, Kuna wafanyabiashara wanaouza Bitcoin kwa pesa ya Tshs kwa maana yao BOT hao pia wanatenda kosa kisheria na wanauwezo was kuwafungulia mashtaka.
Cryptoccurency haiepukiki katika dunia tunayoishi nayo Sasa. Sema mabenki yanajaribu kuiepuka sababu dhumuni la Bitcoin ni kuondoa paper money na kuziondoa benki Kama financial middle man duniani. Bitcoin ikishika hatamu mabenki yanakufa Cha mende.
Ukiona kitu Hadi Billget mwenye world class financial advisor Kainvest ujue ni legitimate.
Wanashindwa vipi ku import rules kutoka nchi zingine.Kaka Achana na transaction ,
Kuna Watu wamewekeza milion of money?
Inamaana kama serikali imeshindwa kuitambua ! Vp kuhusu hao watu?
Naje vp tutafika uchumi wa kati kwa style hii