BoT yazuia matumizi ya pesa ya kidigitali - Crypto currency

The Rwandan central bank is looking into ways it could potentially issue its own digital currency to make the processing of transactions more efficient and to boost economic growth.

The National Bank of Rwanda plans to learn from the experiences of central banks such as Canada, Singapore and the Netherlands, which have tested the use of blockchain technology, Financial Stability Director-General Peace Masozera Uwase said in an interview in the capital, Kigali.
Big planned country with smart people
 
Hakuna shortcut wala miujiza kwenye maisha.

Tena ni afadhali hata wale wanaolima matikiti kwenye magroup ya WhatsApp wanahitaji muongozo mdogo tu waende field na watafanikiwa, lakini nyinyi mnaowaza kuingiza pesa huku una glasi ya Whisky mkononi nawapa pole.
Mkuu aliyecheza kamali ya kuwekeza pesa yake kwenye bitcoin na aliyeua figo kwa kuwekeza kwenye unywaji wa pombe yupi kwako kilaza
 
Kiukweli wakubwa mimi mwenyewe nilikuwa nikiizarau sarafu ya bitcoin lakini baada ya kusoma teknolojia iliyo nyuma yake sasa hivi najichanga niwekeze huko hats tsh 1m sio mbaya kwa kipato changu cha kuunga unga
Dunia inaelekea kwenye digital currency BOT waanze kuandaa wataalamu kwenye eneo hilo it is just a matter of time.Waanze kuandaa wachumi na wataalamu wa fedha wa eneo Hilo.Vyuo vikuu pia vianze kuendesha kozi za hayo mambo wapeleke walimu nje ya nchi haraka kusomea ona Rwanda ishaanza kujiandaa

The Rwandan central bank is looking into ways it could potentially issue its own digital currency to make the processing of transactions more efficient and to boost economic growth.

The National Bank of Rwanda plans to learn from the experiences of central banks such as Canada, Singapore and the Netherlands, which have tested the use of blockchain technology, Financial Stability Director-General Peace Masozera Uwase said in an interview in the capital, Kigali.
 
Kuna makundi na makundi ya vijana wasomi walionyimwa ajira wamejiajiri huko. Sasa nako wanapazuia. Nchi hii nani kairoga??

"vijana msisubiri serikali iwaajiri, tumieni ujuzi mlionao mjiajiri wenyewe." -serikali.
 
because we are different economies: huezi chukulia mfano wa sehem kama hio ukaileta kwenye nchi kama yetu, na sipingi matumizi ya crypto maana kila mtu ana kona zake za kutoka kimaisha , ila am against kwamba sehem flan wametumia na sisi tutumie

mfano sisi nchini kwetu bado watu hawana elimu sana ya crypto: ni tafaut na bilgates ambae anajua in and out za OS yake, minning znarun kwenye OS yake: he has more data than we have, afrika sku zote tunaangukiaga pabaya so lazma elimu kwanza
Lini utaijua
Zamani watu waliishi Kwa mfumo wa kumiliki watu, wakaja mapinduzi ya viwanda, wakaja Land as source economic watu walimiliki maeneo makubwa sana especial kenya , na Sasa Dunia imehama wanaomiliki informations ndo wapiga hela mtu akiwa na informations tu basi. Ndo mana kuna mapesa mengi kwny maswala y'a NGO What you need is just informations.kaa subir informations na mtaala wa chuo Kwamba kuna fursa kwny kilimo,madini au la
 
Watz wengi hawana hata habari na hii kitu watakuja kushtuka kujifunika shuka kukiwa tayari kumepambazuka na washangatwa na mbu
 
Lini utaijua
Zamani watu waliishi Kwa mfumo wa kumiliki watu, wakaja mapinduzi ya viwanda, wakaja Land as source economic watu walimiliki maeneo makubwa sana especial kenya , na Sasa Dunia imehama wanaomiliki informations ndo wapiga hela mtu akiwa na informations tu basi. Ndo mana kuna mapesa mengi kwny maswala y'a NGO What you need is just informations.kaa subir informations na mtaala wa chuo Kwamba kuna fursa kwny kilimo,madini au la

i agree with you but when your dealing with nation issues u deal with the country at large: ni kama forex mmoja anaweza akawa anapiga pesa parefu wenginr 9 wanapoteza hela, but in general i agree with what your trying to say: no one waits for you but utafanya nn 9 wanaangamia , mmoja anapiga pesa?
 
Inawezekana tunakosa mengi kwa kutotumia mfumo wa pesa za kidigitali. Binafsi huwa inanisumbua sana kushindwa kupokea pesa kupitia Paypal, ingawa kutuma si shida. Lakini bahati mbaya tukubali kwamba sheria bado haziruhusu ijapo mataifa mengine yananufaika na hizi huduma. Yamkini kuna wadau wa fedha hapa wanasoma na wanaweza kutusaidia kuifanya mifumo hii ya fedha iweze kuwa rasmi huku tukizingatia tahadhari na changamoto zake.
 
Imformation even forex walio ifahamu ndo wanapiga pesa , kuna jamaa aliifahamu miaka ya 2004 alikuwa akisoma uingereza huyo jamaa ana masters yaswala ya economic. Ila hakuwai kuwajiriwa ila ana kampuni ilioajir zaid ya watu 30, ana fanya kilimo na anafuga ila naye ni mwanachama wa forex. Even though forex wanaopiga hela ni wenye information tu ya kinachoendelea wale ambao wanatumbukia bila information za kutosha wanageuzwa mbegu ya kukuza mitaji ya watu

Facts labda watu wa maswala ya economic watusaidie uwiano wa biashara hii
Impact Kwa mtu mmojammoja , nchi na dunia
Inawezekana tunakosa mengi kwa kutotumia mfumo wa pesa za kidigitali. Binafsi huwa inanisumbua sana kushindwa kupokea pesa kupitia Paypal, ingawa kutuma si shida. Lakini bahati mbaya tukubali kwamba sheria bado haziruhusu ijapo mataifa mengine yananufaika na hizi huduma. Yamkini kuna wadau wa fedha hapa wanasoma na wanaweza kutusaidia kuifanya mifumo hii ya fedha iweze kuwa rasmi huku tukizingatia tahadhari na changamoto zake.
 
Imformation even forex walio ifahamu ndo wanapiga pesa , kuna jamaa aliifahamu miaka ya 2004 alikuwa akisoma uingereza huyo jamaa ana masters yaswala ya economic. Ila hakuwai kuwajiriwa ila ana kampuni ilioajir zaid ya watu 30, ana fanya kilimo na anafuga ila naye ni mwanachama wa forex. Even though forex wanaopiga hela ni wenye information tu ya kinachoendelea wale ambao wanatumbukia bila information za kutosha wanageuzwa mbegu ya kukuza mitaji ya watu

ndo maaana nkasema nakubaliana na mada yako: ila nkaauliza wewe ungekua nafasi ya BOT ungefanya nn sasa? nchi kama kenya ata BETTING zmefungwa kabisa hakuruhusiwi betting but kuna watu wanapiga pesa: lakini sasa utafanya nn we ndo kiongozi
 
Kilichopo waangalie namna ya kuziregurate hizi issue za cryptocurrency badala ya kuzifungia maana kama nchi nyingine wameanza kuzirugurate wao ni akina nani hata waweze kuzizuia
 
Betting, fx siyo btc ,
Kumiliki btc ni kama m pesa, tigopesa unamiliki bila kuzishika. Mkutano wa hivi karibuni kenyata alisema wanataka kuiangalia btc na crypto Kwa jicho jingine. Kwa hiyo sababu zako ni dhaifu
ndo maaana nkasema nakubaliana na mada yako: ila nkaauliza wewe ungekua nafasi ya BOT ungefanya nn sasa? nchi kama kenya ata BETTING zmefungwa kabisa hakuruhusiwi betting but kuna watu wanapiga pesa: lakini sasa utafanya nn we ndo kiongozi
 
Betting, fx siyo btc ,
Kumiliki btc ni kama m pesa, tigopesa unamiliki bila kuzishika. Mkutano wa hivi karibuni kenyata alisema wanataka kuiangalia btc na crypto Kwa jicho jingine. Kwa hiyo sababu zako ni dhaifu

nmetoa mfano boss wa financial losses: but all in all naunga mkono hoja yako
 
Back
Top Bottom