BoT yazuia matumizi ya pesa ya kidigitali - Crypto currency

wazee wa forex tunahusika au ?
 
Kaka Achana na transaction ,
Kuna Watu wamewekeza milion of money?
Inamaana kama serikali imeshindwa kuitambua ! Vp kuhusu hao watu?
Naje vp tutafika uchumi wa kati kwa style hii
Nchi inajitenga.

Ina maana wameshindwa kufuata sheria za kimataifa kuhusu hizi transaction?
Pumbavu kabisa
 
Unashauriwa kunyamaza kama hujui, bitcoin ni uwekezaji kama uwekezaji mwingine, btc imetengeneza mabilionare especially wale walio ikubali mwanzoni.
Nchi za wenzetu kuna ATM mashine za kuwithdraw btc ?
Bitcon inatumika kukopa kwny baadhi ya institutions kama dhamana. Kama ww ulikushinda basi
Tuliwaambia muachane na Mambo ya Bitcoin hamkuelewa
 
Kaka Achana na transaction ,
Kuna Watu wamewekeza milion of money?
Inamaana kama serikali imeshindwa kuitambua ! Vp kuhusu hao watu?
Naje vp tutafika uchumi wa kati kwa style hii
Kuna tofauti ya kuzuia transaction na kutokuitambua..

Wanaposema hawaitambui ni kwamba likitokea la kutokea wao hawahusiki..its on your own risk
 
Kwann serikali inatabia zakibwengu hivi
 
Cryptoccurency haiepukiki katika dunia tunayoishi nayo Sasa. Sema mabenki yanajaribu kuiepuka sababu dhumuni la Bitcoin ni kuondoa paper money na kuziondoa benki Kama financial middle man duniani. Bitcoin ikishika hatamu mabenki yanakufa Cha mende.

Ukiona kitu Hadi Billget mwenye world class financial advisor Kainvest ujue ni legitimate.
 
Fact
 
Kuna tofauti ya kuzuia transaction na kutokuitambua..

Wanaposema hawaitambui ni kwamba likitokea la kutokea wao hawahusiki..its on your own risk
Sio kutohusika tu, Kuna wafanyabiashara wanaouza Bitcoin kwa pesa ya Tshs kwa maana yao BOT hao pia wanatenda kosa kisheria na wanauwezo was kuwafungulia mashtaka.
 
Ni maamuzi ya busara ambayo yamekuja kwa kuchelewa.

Hizi biashara za janja janja ni sumu kwa kizazi kijacho.

Sasa ni zamu ya makamari ya Wachina na michezo ya kubet, fyekelea mbali.
Ujui unachokiongea ww ni smart kuliko billagate kwny biashara ?
Kwahiyo marekani china Na ulaya nzima ni wajinga kutoizuia kitu usicho kijua ni kwamba haizuiliki ila nakupa pole kwa kutotambua mapema
 
Sio kutohusika tu, Kuna wafanyabiashara wanaouza Bitcoin kwa pesa ya Tshs kwa maana yao BOT hao pia wanatenda kosa kisheria na wanauwezo was kuwafungulia mashtaka.
Shida ikwapi si kila mtu anasaka mkwanja kivyake
 

sidhan: nahisi wamefanya hivi mpaka elimu itolewe ya kutosha kwanza: nikupe mfano, bitcoin kuna kipindi ilivuma sana tz: lakini kuna watu walitumia kutoelewa kwa waafrika wakaanzisha sub bitcoin ambazo zilikua ni utapeli, watu waliwekeza pesa zao sana kipindi 1 coin inaiuzwa $5000, but market ilicrash watu wakaanza kulilia serikali juu ya huu utapeli, wakati ilikua ni ishue ya minning tu
 
Ndio tatizo letu watanzania huwa hatutaki changamoto mpya ila kwa teknolojia ya hali ya juu iliyotumika katika sarafu ya bitcoin ningeshauri wakae pembeni maana kama mmarekani kanyoosha mikono wataweza wao kweli

Wanachoweza kufanya serikali ni kuzuia bitcoin exchange markets lakini kuna decentralized bitcoin exchange zimeanzishwa ambazo haziwezi kuzuiwa na MTU

Huko kwa jirani zetu Rwanda & Kenya wao wanafikilia kutengeneza block chain ya fedha zao.Anyway watz tutaendelea kuwa mabichwa ya wendawazimu mpaka yesu atakaporudi
 
Kaka Achana na transaction ,
Kuna Watu wamewekeza milion of money?
Inamaana kama serikali imeshindwa kuitambua ! Vp kuhusu hao watu?
Naje vp tutafika uchumi wa kati kwa style hii
Wanashindwa vipi ku import rules kutoka nchi zingine.
Kama ambavyo wanaiga technology. Basi kama vipi wapige marufuku matumizi ya simu pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…