BoT yazuia matumizi ya pesa ya kidigitali - Crypto currency

I think about silicon valley and I see blurred
.....it might be application of the principle of equifinality that assumes multitude ways of reaching the same goal.
Perhaps we have advanced that new way that make us sing another song with different global tones as the song of Glocalization advocated by Prof.Wadada Nabudere.
 
Tunaweza kupingana na nyakati??
Yes kama tunao wakati wetu mwingine
"Dark times"....waiter maji mengine kuna jamaa hapa anakunywa bia sana na nikizingatia hii social networking anakunywa mpaka uchoke daah..
Nipe Azam juice ya box hapo nipunguze gap.
 
Kadi za kawaida zenyewe vipi?
Yap Is this no transaction direct, but kama unavisa na Mastercard unaweza fanya transaction, alternatives labda maswala y'a skrill na webmoney but sina hakika sana watu wa benk watusaidie
 
Yap Is this no transaction direct, but kama unavisa na Mastercard unaweza fanya transaction, alternatives labda maswala y'a skrill na webmoney but sina hakika sana watu wa benk watusaidie
*yap i think...... [emoji121]
 
How about govement of china ??
How about japani ?
How about Uk ?
Are they fool ?
Until to allow btc to destroy their economic What you don't know m pesa it's was started like btc ?
Siku utakapoijua utakuwa umechelewa
Mkuu tatizo asilimia kubwa ya watanzania tukifikiria utajiri wazo la kwanza ni biashara gani nitakayoifanya ila swali la wapi naweza weka pesa zangu zikakua na kuongezeka kwa kutumia akili tu hizo huwa wengi hawazifikirii na neno work smart and not hard nimekuja kulielewa baada ya kufanya uwekezaji katika kichwa kabla ya kuwekeza kwenye biashara yoyote, in fact unakuwa na alternatives kibao za kuhifadhi pesa zako while upo nyumbani na familia na pesa zinakua.

Kijana mwenzangu tenga muda fuatilia ulimwengu wa uwekezaji wenye manufaa tusiingie online kuangalia leo platinum kaweka nn kwa account instagram. Napenda kazi za kutumia akili nyingi na nguvu kidogo kisha matokeo makubwa.
 
hapo wamezuia au kutahadharisha uma...pufuuuuu
 
Naunga mkono hoja, umenena vema Vida1:
 
Hahahaaaaa
 
Leo hapo hawashabikia kukaa nyuma ya teknolojia hata kidogo zaidi ya kutaka teknolojia kuwafuata watu popote walipo ili waweze kufanya kazi popote na siyo kukimbilia mijini
 

Attachments

  • 20191112_174629.jpg
    136.4 KB · Views: 1
Acha kupotosha, hawajatoa zuio, bali wametoa tahadhari kwamba wao hawako tayari kuidhamini pesa hiyo ya kimtandao. Tumia akili.
Rudia kusoma mkuu, sija mpotosha mtu nimeongelea mawazo yangu kutokana na kutokana na ukuaji wa sciences n'a technologie.
 
Nilichoongea ni kuwepo kwa watu kuwekeza kwny cryptocurrent ,Bot kutoitambua au kuchelewa kuitambua ,
Bot kuweka againist technologies katika uchumi nini athali zake kwa mtu na nnchi.
Hizo ndo major points, so sijampotosha mtu
Acha kupotosha, hawajatoa zuio, bali wametoa tahadhari kwamba wao hawako tayari kuidhamini pesa hiyo ya kimtandao. Tumia akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…