Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Chondechonde mama, hao wafanyabishara wanaokushauri wanakupoteza. Kwenye uchumi wa kibepari mfanyabiashara anaangalia faida yake tu, sio wajibu wake kulinda maslahi ya nchi au mtu mwingine yeyote. Ni wajibu wa serikali kulinda maslahi ya wananchi dhidi ya maslahi ya wafanyabishara.
Kwasasa watu wana anticipate shilingi kuendelea kuporomoka, hivyo wafanyabiashara wa maduka ya kubadilishia fedha za kigeni wanayo motisha ya kuficha fedha za kigeni ili kupata faida kubwa wakiziuza.
Hayati Magufuli hakuwa mjinga kuwavamia kwa surprise, walikuwa wameanza kufanya hako kamchezo. Sio kila alichofanya Magufuli kilikuwa kibaya. Umebadili mengi mazuri aliyoyaasisi na kuishia kuharibu.
Leo hii dola moja imefika Tsh. 2,530. Kwa mwendo huu baada ya uchaguzi 2025 itakuwa zaidi ya Tsh. 3,000.