BoT zifungeni Bureau de Change zilizofungwa wakati wa Hayati Magufuli

Chondechonde mama, hao wafanyabishara wanaokushauri wanakupoteza. Kwenye uchumi wa kibepari mfanyabiashara anaangalia faida yake tu, sio wajibu wake kulinda maslahi ya nchi au mtu mwingine yeyote. Ni wajibu wa serikali kulinda maslahi ya wananchi dhidi ya maslahi ya wafanyabishara.

Kwasasa watu wana anticipate shilingi kuendelea kuporomoka, hivyo wafanyabiashara wa maduka ya kubadilishia fedha za kigeni wanayo motisha ya kuficha fedha za kigeni ili kupata faida kubwa wakiziuza.

Hayati Magufuli hakuwa mjinga kuwavamia kwa surprise, walikuwa wameanza kufanya hako kamchezo. Sio kila alichofanya Magufuli kilikuwa kibaya. Umebadili mengi mazuri aliyoyaasisi na kuishia kuharibu.

Leo hii dola moja imefika Tsh. 2,530. Kwa mwendo huu baada ya uchaguzi 2025 itakuwa zaidi ya Tsh. 3,000.
Ongezeni uzalishaji,tunaagiza zaidi kuliko kuzalisha na kuuza nje. Hizo zingine ni pumba ambazo umejitahidi kuzielezea ili zionekane sembe.
 
Yote haya yalikuwa predictable pamoja na hatua zake zingine ambazo watu walishasema baada ya miaka miwili atakuwa aeleweki kwenye jamii.

Wamempa vijana failures waliokuwa kwenye awamu ya Jakaya Kikwete hakuna lolote la maana walichonacho zaidi ya kuji-brand kwenye public kama financial and investment technocrats lakini matekeo ya kazi zao ni hasara tupu kwa taifa.

Ebu nendeni mkasome vizuri hiyo ‘annual report ya TANESCO’ halafu uone kama wana hiyo net profit ya tsh 109 billion kweli au kama wana uwezo wa kulipa tsh 97 billion za corporate tax. Kuna income za ajabu zimewekwa humo ambazo hazipo kabisa na ukisoma mipango ya ajabu-ajabu; thanks god kuna bwawa la Nyerere mwakani litakaloweza ficha madhara ambayo walikuwa wanaenda yatengeneza.

Wengine NHC ni upuuzi mtupu, Mwigulu zero, Nehemia zero Bashe Zero; yaani kazungukwa na vijana wa hovyo kweli halafu yeye mwenyewe ‘bi Tozo’ kwa ushauri wa JK anaamini ni watu wa maana.

Busara ni kutogembea 2025 vinginevyo huyo mama hiyo nchi ataenda iharibu kupita kiasi mkiendelea kumchekea.
 
Kale kasafari
Wamerudisha pesa ya uchumba kwa wawekezaji au tuseme waowaji uchwara.

Ndio maana $$$$ imevanish.
Tumeanza kurudisha za uchumba
Mchumba kakataliwa

Lakini WaTanganyika mnaletewa simba day mnajisahau kabisaaa
Simba day ni upuuzi mwingine haujawahi fananishwa.

Hatupo serious na kuitetea nchi
Kuna mambo mengi WaTanganyika tuweke pending swala la Bandari ni zito kuliko tunavyofikiri.

Ndio maana dada wa Taifa huwa anasema acha aendelee na umbea kuliko kuwatetea wasioweza kupigania chao

Wimbo wa Ney timeuchukulia poa lakini ujumbe wake ni mzito

AMKENI AMKENI
Tuache kupromote ujinga sijui mpira etc.. Let’s be serious for once

Sisiem inajua kucheza na akili za WaTanganyika..
Safari bado ni ndefu
 
Chondechonde mama, hao wafanyabishara wanaokushauri wanakupoteza. Kwenye uchumi wa kibepari mfanyabiashara anaangalia faida yake tu, sio wajibu wake kulinda maslahi ya nchi au mtu mwingine yeyote. Ni wajibu wa serikali kulinda maslahi ya wananchi dhidi ya maslahi ya wafanyabishara.

Kwasasa watu wana anticipate shilingi kuendelea kuporomoka, hivyo wafanyabiashara wa maduka ya kubadilishia fedha za kigeni wanayo motisha ya kuficha fedha za kigeni ili kupata faida kubwa wakiziuza.

Hayati Magufuli hakuwa mjinga kuwavamia kwa surprise, walikuwa wameanza kufanya hako kamchezo. Sio kila alichofanya Magufuli kilikuwa kibaya. Umebadili mengi mazuri aliyoyaasisi na kuishia kuharibu.

Leo hii dola moja imefika Tsh. 2,530. Kwa mwendo huu baada ya uchaguzi 2025 itakuwa zaidi ya Tsh. 3,000.
Yawezekana ukawa na hoja, but haya maduka ya kubadili fedha ndio yamesababisha uhaba wa dollar? Kama ni kwel haya maduka yalianzishwa tang mwaka gani? Na kila mwaka yalisababisha huo uhaba wa dollar?
 
Chondechonde mama, hao wafanyabishara wanaokushauri wanakupoteza. Kwenye uchumi wa kibepari mfanyabiashara anaangalia faida yake tu, sio wajibu wake kulinda maslahi ya nchi au mtu mwingine yeyote. Ni wajibu wa serikali kulinda maslahi ya wananchi dhidi ya maslahi ya wafanyabishara.

Kwasasa watu wana anticipate shilingi kuendelea kuporomoka, hivyo wafanyabiashara wa maduka ya kubadilishia fedha za kigeni wanayo motisha ya kuficha fedha za kigeni ili kupata faida kubwa wakiziuza.

Hayati Magufuli hakuwa mjinga kuwavamia kwa surprise, walikuwa wameanza kufanya hako kamchezo. Sio kila alichofanya Magufuli kilikuwa kibaya. Umebadili mengi mazuri aliyoyaasisi na kuishia kuharibu.

Leo hii dola moja imefika Tsh. 2,530. Kwa mwendo huu baada ya uchaguzi 2025 itakuwa zaidi ya Tsh. 3,000.
Aendelee kuziba masikio ,utawala uliofililiskia watakuambia ,uhaba wa dolla ni dunia kote sio Tanzania tu
 
Ongezeni uzalishaji,tunaagiza zaidi kuliko kuzalisha na kuuza nje. Hizo zingine ni pumba ambazo umejitahidi kuzielezea ili zionekane sembe.
Awami hii pesa nyingi imetumika kuagiza vyakula na kununua bidhaa zingine ambazo hazina ulazima miaka ya nyuma tulikuwa tunazalisha sisi wenyewe chakula kinachotutosha
 
Chondechonde mama, hao wafanyabishara wanaokushauri wanakupoteza. Kwenye uchumi wa kibepari mfanyabiashara anaangalia faida yake tu, sio wajibu wake kulinda maslahi ya nchi au mtu mwingine yeyote. Ni wajibu wa serikali kulinda maslahi ya wananchi dhidi ya maslahi ya wafanyabishara.

Kwasasa watu wana anticipate shilingi kuendelea kuporomoka, hivyo wafanyabiashara wa maduka ya kubadilishia fedha za kigeni wanayo motisha ya kuficha fedha za kigeni ili kupata faida kubwa wakiziuza.

Hayati Magufuli hakuwa mjinga kuwavamia kwa surprise, walikuwa wameanza kufanya hako kamchezo. Sio kila alichofanya Magufuli kilikuwa kibaya. Umebadili mengi mazuri aliyoyaasisi na kuishia kuharibu.

Leo hii dola moja imefika Tsh. 2,530. Kwa mwendo huu baada ya uchaguzi 2025 itakuwa zaidi ya Tsh. 3,000.
Dollar huipati hata kwa Tsh2,600/1US$.

By Oct 2025 itakuwa 1US$ = Tsh 5,000
 
Acheni kuandika pumba tatizo lo kukosekana kwa Dola sio Tanzania pekee hata nchi za jirani tu hapa zina suffer kama sisi. Hayo maduka yanahusikaje ?
Wameambiwa eti wanaficha dola makusudi..
 
Chondechonde mama, hao wafanyabishara wanaokushauri wanakupoteza. Kwenye uchumi wa kibepari mfanyabiashara anaangalia faida yake tu, sio wajibu wake kulinda maslahi ya nchi au mtu mwingine yeyote. Ni wajibu wa serikali kulinda maslahi ya wananchi dhidi ya maslahi ya wafanyabishara.

Kwasasa watu wana anticipate shilingi kuendelea kuporomoka, hivyo wafanyabiashara wa maduka ya kubadilishia fedha za kigeni wanayo motisha ya kuficha fedha za kigeni ili kupata faida kubwa wakiziuza.

Hayati Magufuli hakuwa mjinga kuwavamia kwa surprise, walikuwa wameanza kufanya hako kamchezo. Sio kila alichofanya Magufuli kilikuwa kibaya. Umebadili mengi mazuri aliyoyaasisi na kuishia kuharibu.

Leo hii dola moja imefika Tsh. 2,530. Kwa mwendo huu baada ya uchaguzi 2025 itakuwa zaidi ya Tsh. 3,000.
Mama yupi unayemshauri?
 
SSH, akiendelea kucheka na nyani atavuna mabua. Wafanyabishara sio marafiki wa serikali.
Hakuna rafiki wa serikali, hata mwanasiasa yupo pale kuna maslahi, watumishi wapo pale sababu ya mshahara, sasa kwani Mitaji ya wafanyabiashara wanapewa na serikali mpaka wasiwaze faida tu?

Wafanyabiashara wakishikilia $ inamaana wameachia mtaji wao kwa mfumo wa Tsh na fedha nyingine mtaani hawawezi shikilia vyote. Serikali kazi yake ni kuwa na akili ya kuwafanya wafanyabiashara waachie $ kwa kuipandisha thamani Tsh na sio kuwanyang'anya mitaji yao.
 
Difficit ya $ haidhibitiwi kwa kufungia bureau de change.
Increase exportation power ndo ndo itacontrol tatizo.
Halafu usimention bureau de change kubania $ ukawasahau silent ocean na uhujumu wanaofanya kuikandamiza thamani ya shilingi huku maafsa wa TRA wameufyata.
 
Back
Top Bottom