BoT zifungeni Bureau de Change zilizofungwa wakati wa Hayati Magufuli

Wataelewa soon
 
Wanashushaje thamani ya shilingi mkuu
 
Acheni kuandika pumba tatizo lo kukosekana kwa Dola sio Tanzania pekee hata nchi za jirani tu hapa zina suffer kama sisi. Hayo maduka yanahusikaje ?
Umesoma ukaelewa alichokiandika mtoa mada? Au umekurupuka kujibu pasipo kuelewa point ya mtoa mada!!

Mtoa mada anasema daima mfanyabiashara anachokiangalia yeye ni faida na madhala yanayotokana na faida hiyo hayajali hivyo anaficha dollar na zikiadimika automatically zinapanda hivyo anapata supper profit. Hii nayo unabisha? Kwani nchi jilani zikipatwa na tatizo la aina hiyo wao wafabiashala wa maduka ya bureaud change hawawezi kuwa na tabia hiyo ya kuficha dollar?

Na ni mtindo au tabia ya kawaida kwa mfanyabiashara yeyote zaidi kumbuka kuadimika kwa mafuta ya magari kila inapokaribia jumatano ya kila mwisho wa mwezi.
 
Hizo Bureau nyingi zilianzishwa wakati wa upigaji wa fedha za EPPA na kazi kuu ilikuwa ni kutakatisha fedha chafu kwa kuchenji shilingi kwenda Dola alafu pesa inapelekwa ughaibuni chini ya Gavana tapeli Daud Balali!
 
Inaweza ikawa kufunguliwa kwa izo nanyingine zinazo fanyakazi ndio mwanya wa kufilisi Dora nchini wanatowa ifazi kuu wanaficha uko
 
acha kidole kisugue hayo marinda.....watajua hawajui tuu
 
Hata huelewi kwanini dollar zimepotea.....
Pesa za kigeni sio kama mafuta..
 
Acheni kuandika pumba tatizo lo kukosekana kwa Dola sio Tanzania pekee hata nchi za jirani tu hapa zina suffer kama sisi. Hayo maduka yanahusikaje ?
Wanafikiri dollars ni kama maji unafunga valve....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…