samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,223
hahahaha, taarifa imejitosheleza, kinatafutwa mauritus kiliibiwa na watu walikuwa na kazi nacho huko baharini, inaonekana kiliachwa kikaelea na kuibukia Zenji baada ya kusukumwa na mawimbi.....dip sea huwa kuna mengi sana kwa wasioelewa..
Siasa zimetuharibu sana aisee, kila jambo tunaliangalia kwenye mlengo wa siaa matokeo yake..
Bahari haifugi uchafu....
Siasa zimetuharibu sana aisee, kila jambo tunaliangalia kwenye mlengo wa siaa matokeo yake..
Bahari haifugi uchafu....