DOKEZO Boti inayosafirishwa kutoka Mtwara kwenda Mwanza ni Kero barabarani. Waichinje wasafirishe Vipande

DOKEZO Boti inayosafirishwa kutoka Mtwara kwenda Mwanza ni Kero barabarani. Waichinje wasafirishe Vipande

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Limefika wapi sahivi

Ova
Hapa Singida Manyoni. Wanalaza kwenye kituo cha mafuta. Vipi moto ikipuka usiku?
FB_IMG_1750651238955.jpg
 
Mmh! Ilivyofika manyoni ikakunja kuelekea Tabora!!? Kupita tabora mjini ilikua rahisi kuliko kunyoosha igunga- nzega???
Hii ipo kisiasa. Huu ni mwaka wa Uchaguzi. Laazima wanachi wajue Samia Kanunua Boti. Na tabora inabidi ilale
 
HAPA NI PUGE, NZEGA MKOANI TABORA UELEKEO MWANZA
 
Misungwi
 
Pongezi kwa dreva, dude limefika. Madreva na crew nzima wakapige sangara mzima mzima kila mmoja nitalipa.
Mitano tena kwa mama, awamu ya sita hoyeee!
 
AMBULANCE BOAT YAFIKA SALAMA JIJINI MWANZA

Boti mpya ya kisasa ya dharura ya matibabu imefika salama Mwanza leo tarehe 26 Juni, 2025 tayari kushushwa majini katika eneo la Kigongo - Busisi na kuelekea Jijini Mwanza kwa njia ya maji.
FB_IMG_1750951352957.jpg
FB_IMG_1750951364711.jpg
 
Dereva Hamidu Mshamu aliyesafirisha boti ya Uokozi kutoka Mtwara kuelekea Mwanza, alisema Sababu iliyowafanya boti ya uokoaji isafirishwe kupitia njia ya Iringa-Morogoro ni kutokana na kimo cha boti hiyo ambayo haiwezi kupitishwa chini ya madaraja mbalimbali katika mkoa wa Dar es Salaam.
 
Back
Top Bottom