DOKEZO Boti inayosafirishwa kutoka Mtwara kwenda Mwanza ni Kero barabarani. Waichinje wasafirishe Vipande

DOKEZO Boti inayosafirishwa kutoka Mtwara kwenda Mwanza ni Kero barabarani. Waichinje wasafirishe Vipande

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Watanzania (waafrika) tunaishi kwa kuvumiliana kwa hili lalamiko niko kinyume na mleta mada
 
Vinginevyo wabadiri roote wafike iringa waende mbeya, wakitoka mbeya waende sumbawanga, to mpanda then Tabora kisha mwanza hiyo njia haina kipengere zaidi ya ule mpando wa ryambamfipa kwingine kote kamseleleko
Lyamba la mfipa, pia wanaweza kukwepa kupita hapo wakapita kibaoni baada ya kutoka kizi, wasiwasi wangu daraja la sitalike sidhani kama linaweza himili huo uzito
 
Ilula
 
Songoro Marine wana yard mwanza--wangeweza kuikatia Dar na kuiunga upya Mwanza.
Watu wengi zaidi wangepata ajira.
Barabara zetu zingepona.
Misongamano isingekuwepo.
Ukataji holela wa umeme usingekuwepo.
Tungeokoa Muda na Pesa.
Hilo kulikata na kuliunga lingechukua muda gani ?

Vipi waswahili wasingeuza screpa hizo engine na vyuma vingine ?
 
Back
Top Bottom