DOKEZO Boti inayosafirishwa kutoka Mtwara kwenda Mwanza ni Kero barabarani. Waichinje wasafirishe Vipande

DOKEZO Boti inayosafirishwa kutoka Mtwara kwenda Mwanza ni Kero barabarani. Waichinje wasafirishe Vipande

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wenzetu wanajivunia kutengeneza Nyambizi, Sisi tunajivunia kununua boti. Na tunajiona mashujaa kweli.

Kila sehemu wameweka picha ya Rais Samia as if ndo kitu kikubwa Samia kafamya tangu awe Rais.

Na hii Boti ukisogelea kama si kuongozi wa Serikali unasukumwa. Wakati imeletwa kwaajili ya Wananchi. Wawaache wapige picha.. Japo wasseme kodi yangu imenunua boti nimeiona.

Wanataka waseme Samia kanunua
View attachment 3369865
Kuna boya naye atakuja kusimulia wajukuu zake. Mi msinione hivi. Nilishawahi kuwa kwenye msafara wa mama kusafirisha boti chakavu kutoka Mtwara mpaka Mwanza. Tulikula bata sana!
 
Nimengalia taarifa moja huko nyumbani eti kijiji kizima sijui wilaya nzima wamejitokeza kushangaa boti inayosfirishwa kwa njia ya barabara , i was like seriously kweli tumerogwa, ndio maana vilaza wanatutawala easily.
 
Siyo washamba wao walishazoea kuona both zikiundwa na Sogoro marine au Temesa, Sasa wameshangaa kuona Boti ina safirishwa kama ndizi au Mahindi.
 
Mkuu kushangaa kitu ambacho hujawahi kukiona ni ushamba?

Halafuu mbona wazungu wakija kushangaa vitu huku huwa mnachekelea tu mnawaita watalii.
 
Acha washangae maana ni tukio ambalo halijawahi kutokea nchini
 
Nimengalia taarifa moja huko nyumbani eti kijiji kizima sijui wilaya nzima wamejitokeza kushangaa boti inayosfirishwa kwa njia ya barabara , i was like seriously kweli tumerogwa, ndio maana vilaza wanatutawala easily.
Boti ya mama..
 
Back
Top Bottom