DOKEZO Boti inayosafirishwa kutoka Mtwara kwenda Mwanza ni Kero barabarani. Waichinje wasafirishe Vipande

DOKEZO Boti inayosafirishwa kutoka Mtwara kwenda Mwanza ni Kero barabarani. Waichinje wasafirishe Vipande

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wananchi wanataka ilale Njombe ili wapate nafasi ya kupiga nayo picha
 
Nimehurahi kuona mnara wa kanisa langu hapo, maduka ya watani zangu akina Mlowe.

Kitu inaenda kupandisha na kushuka pale Ruhuji Falls kuitafuta Makambako.
Kama imechomoa Songea, Madaba hadi hapo Njombe, dreva alishapata pumzi na uzoefu wa kutosha. Tukutane Mtera, Nyang'oro na mwisho Senkenke. Nzega hadi Mwanza ni mterezo.
 
Hawapiti mtera, wanapita kitonga hadi morogoro then Dodoma.
Daraja la mtera haliruhusu mzigo wa abnormal
 
Njombe
 
#pumzikq salama Mdude

IMG-20250614-WA0044.jpg
 
figganigga naona lile bango ubavuni wameliona dogo halionekani vizuri....leo wameweka bonge la bango 😂😂😂😂
Tatizo ni Wameishiwa point kwenye ulingo wa Siasa. So wanajaribu kuforce kuwaaminisha Wananchi kwamba wanafaa. So kila nafasi inayopatikana inatumika kisiasa.

Msanii wa bongo akiongea neno akamshukuru Rais posho inaingia hapo hapo.

Yaani hawa wasanii wakubwa wa Tanzania wanapata hela japo kwa kkumention neno Mama yetu Mpendwa Samia. Nchi ina mambo..

Hilo bango wanahisi litawaongezea kura.
 
Wenzetu wanajivunia kutengeneza Nyambizi, Sisi tunajivunia kununua boti. Na tunajiona mashujaa kweli.

Kila sehemu wameweka picha ya Rais Samia as if ndo kitu kikubwa Samia kafamya tangu awe Rais.

Na hii Boti ukisogelea kama si kuongozi wa Serikali unasukumwa. Wakati imeletwa kwaajili ya Wananchi. Wawaache wapige picha.. Japo wasseme kodi yangu imenunua boti nimeiona.

Wanataka waseme Samia kanunua
IMG-20250615-WA0035.jpg
 
Kama Vikundi vya bodaboda vimeanza kulipwa kusindikiza, Watu wa singida watakuja kulipokea Dodoma waende wanapiga honi barabara nzima. Nani asiyetaka hela?
 
View attachment 3369865
Bora wangeivunja tu na kwenda kuiunda upya huko inako pelekwa. Huu usumbufu mbona ni mkubwa sana kwa watumiaji wa barabara!

Halafu nawaza kwa madereva wetu wa mabasi na yale mawenge yao! Wanaweza kusababisha maafa makubwa kama tahadhari ya kutosha haitachukuliwa.
 
Kama Vikundi vya bodaboda vimeanza kulipwa kusindikiza, Watu wa singida watakuja kulipokea Dodoma waende wanapiga honi barabara nzima. Nani asiyetaka hela?
View attachment 3369942
Wait a minute. Kwamba hao ni wananchi wanashangilia ujio wa boti? Ama kweli mcc wanatuona mazwazwa.

Yani mwananchi wa makambako afurahie boti ya uokozi ambayo itafanya kazi kwenye maeneo ya ziwa victoria mamia ya kilomita kutoka hapo walipo?
 
Back
Top Bottom