DOKEZO Boti inayosafirishwa kutoka Mtwara kwenda Mwanza ni Kero barabarani. Waichinje wasafirishe Vipande

DOKEZO Boti inayosafirishwa kutoka Mtwara kwenda Mwanza ni Kero barabarani. Waichinje wasafirishe Vipande

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sasa ile Boti inayosafirishwa imekuwa ya Kisiasa. Imebandikwa picha za Rais Samia kila Sehemu hadi kwenye Gearbox.

Watu wanaisindikiza huku wameshikilia bendera za CCM na kulindwa na Polisi.
Sasa hivi CCM hata wakiona mahali kuna MSIBA wanaenda na bendera na picha za SAMIA na kuanza kulia, wakiona mkusanyiko wowote tu ule, wao ni kampeni, stupid kabisa
 
Kasheshe lipo ruvuma to njombe to iringa, wakitoboa hapo basi wamesha fika, sasa hiko kipande kina ndege za makaa ya mawe muda wote zipo online, msije okota mifupa, unakuta dereva kachoka kamuachia tandiboy
Mzee wakifika dodoma tu wameweza kwani wanaweza ikimbia sekenke kwa kupita manyoni na aliyetoa wazo apewe tuzo nawaza zile kona kona za iringa to dodoma nawaza tena kama morogogoro pale kitonga jesuuu
 
Mkuu ina maana process nzima mpk wanakubaliana isafirishwe kama ilivyovwewe ndio mwenye maarifa zaidi kuliko wao?
 
Hii boti ya kina lukas nini mbona picha ya mamake ipo mbele pale? Okay kwakua boti inapita songea, njombe , makambako kwa heshima na taadhima namwomba LUKAS asogee makambako maana sio mbali na uyole mbeya aje ailaki kwa kububujikwa machozi ya furaha....au nasema uwongo wakuu 😂😂😂😂...
 
Mzee wakifika dodoma tu wameweza kwani wanaweza ikimbia sekenke kwa kupita manyoni na aliyetoa wazo apewe tuzo nawaza zile kona kona za iringa to dodoma nawaza tena kama morogogoro pale kitonga jesuuu
Kitonga kipengele, ila iringa kutoboa dodoma kwa mzigo huo ni pamoto sana
 
Magufuli aliwahi kukataa huu ujinga akasema ipite kisumu ivuke kwa maji
 
Mkuu ina maana process nzima mpk wanakubaliana isafirishwe kama ilivyovwewe ndio mwenye maarifa zaidi kuliko wao?

Kuna mahala hata wewe unaweza kufikiri vizuri kuliko watu fulani waliotoa maamuzi fulani.

Inawezekana pia uwezo wao wakufikiria ulifikia hapo, hili halifanyi wengine wenye uwezo mkubwa na maarifa mengi kufikiria.
 
Kama anaenda Mwanza kitonga haikumuhusu akitokea Iringa...anaka zake kati hapo to Dom..seme napo kuna ule mlima sijui nini una konaaa za hatari
Sio kila barabara inamudu huo mzigo, ingekuwa wanatafuta njia fupi basi wangepita Lindi to Dar, Moro, Dom kwenda Mwanza.
Route iliyotangazwa ni ya Iringa to Dom kwa kupitia Moro.
Wanakwepa miteremko, madaraja ya juu, kona, nk....
 
Back
Top Bottom