Mombasa hadi kisumu unafikiri ni karibu? Halafu unafikiri ni rahisi tu kupitisha hilo dude NairobiWametumia njia ndefu sana wangeishushia mombasa kisha iende hadi Kisumu ni karibu wangetumia siku tano kwa gharama nafuu
Kisha Kisumu Mwanza
Kuna maswali umeuliza hapo nafikiri tukusaidie kukupa ufafanuzi.Kuna Boti inasafirishwa kutoka Mtwara Kwenda Mwanza. Itatumia muda wa Mwezi mmoja au zaidi, kutumia barabara ni kutojali watumiaji wengine wa barabara.
Kama umekutana nayo, hii Boti ni Kero sana. Najiuliza kwanini haijasafirishwa Vipande? Mzigo kama huu unatakiwa Uchinjwe ndo usafirishwe
View attachment 3358312
Kuna wakati Marehemu Magufuli alishakataa kutumia Barabara kusafirisha Boti kubwa hivi.
Mzigo huu wa abnormal umeanza safari jana tarehe 05.06.2025 leo tumekuata nalo Ndanda. Unatoka Mtwara kupitia Ruvuma - Njombe - Iringa - Morogoro - Dodoma - Singida - Tabora - Shinyanga - Mwanza
VIPIMO
Urefu mita 29
Upana mita 5.6
Kimo mita 7.4
Kwa upande wangu naona si sawa. Barabara zetu nyembamba sana.
View attachment 3358313
Hii picha ni ya leo wakiwa wamefika Ndanda. Kisa kaomba kibali.
KibaliMbona kuna bango la ccm
Imekuzuia wapiKuna Boti inasafirishwa kutoka Mtwara Kwenda Mwanza. Itatumia muda wa Mwezi mmoja au zaidi, kutumia barabara ni kutojali watumiaji wengine wa barabara.
Kama umekutana nayo, hii Boti ni Kero sana. Najiuliza kwanini haijasafirishwa Vipande? Mzigo kama huu unatakiwa Uchinjwe ndo usafirishwe
View attachment 3358312
Kuna wakati Marehemu Magufuli alishakataa kutumia Barabara kusafirisha Boti kubwa hivi.
Mzigo huu wa abnormal umeanza safari jana tarehe 05.06.2025 leo tumekuata nalo Ndanda. Unatoka Mtwara kupitia Ruvuma - Njombe - Iringa - Morogoro - Dodoma - Singida - Tabora - Shinyanga - Mwanza
VIPIMO
Urefu mita 29
Upana mita 5.6
Kimo mita 7.4
Kwa upande wangu naona si sawa. Barabara zetu nyembamba sana.
View attachment 3358313
Hii picha ni ya leo wakiwa wamefika Ndanda. Kisa kaomba kibali.
Hapo hupiti ?Kuna Boti inasafirishwa kutoka Mtwara Kwenda Mwanza. Itatumia muda wa Mwezi mmoja au zaidi, kutumia barabara ni kutojali watumiaji wengine wa barabara.
Kama umekutana nayo, hii Boti ni Kero sana. Najiuliza kwanini haijasafirishwa Vipande? Mzigo kama huu unatakiwa Uchinjwe ndo usafirishwe
View attachment 3358312
Kuna wakati Marehemu Magufuli alishakataa kutumia Barabara kusafirisha Boti kubwa hivi.
Mzigo huu wa abnormal umeanza safari jana tarehe 05.06.2025 leo tumekuata nalo Ndanda. Unatoka Mtwara kupitia Ruvuma - Njombe - Iringa - Morogoro - Dodoma - Singida - Tabora - Shinyanga - Mwanza
VIPIMO
Urefu mita 29
Upana mita 5.6
Kimo mita 7.4
Kwa upande wangu naona si sawa. Barabara zetu nyembamba sana.
View attachment 3358313
Hii picha ni ya leo wakiwa wamefika Ndanda. Kisa kaomba kibali.
Gwajima akimalizanaje na DAbIvi Gwajima ashaonekanaee?
Kuna Boti inasafirishwa kutoka Mtwara Kwenda Mwanza. Itatumia muda wa Mwezi mmoja au zaidi, kutumia barabara ni kutojali watumiaji wengine wa barabara.
Kama umekutana nayo, hii Boti ni Kero sana. Najiuliza kwanini haijasafirishwa Vipande? Mzigo kama huu unatakiwa Uchinjwe ndo usafirishwe
View attachment 3358312
Kuna wakati Marehemu Magufuli alishakataa kutumia Barabara kusafirisha Boti kubwa hivi.
Mzigo huu wa abnormal umeanza safari jana tarehe 05.06.2025 leo tumekuata nalo Ndanda. Unatoka Mtwara kupitia Ruvuma - Njombe - Iringa - Morogoro - Dodoma - Singida - Tabora - Shinyanga - Mwanza
VIPIMO
Urefu mita 29
Upana mita 5.6
Kimo mita 7.4
Kwa upande wangu naona si sawa. Barabara zetu nyembamba sana.
View attachment 3358313
Hii picha ni ya leo wakiwa wamefika Ndanda. Kisa kaomba kibali.
Nawaza zile kona za lukumburu, nyie mbona hatarii kabisaa hii, nawaza wangefanyia assembly huko huko mwanza. LolKasheshe lipo ruvuma to njombe to iringa, wakitoboa hapo basi wamesha fika, sasa hiko kipande kina ndege za makaa ya mawe muda wote zipo online, msije okota mifupa, unakuta dereva kachoka kamuachia tandiboy
Labda walinyimwa vibali.Wametumia njia ndefu sana wangeishushia mombasa kisha iende hadi Kisumu ni karibu wangetumia siku tano kwa gharama nafuu
Kisha Kisumu Mwanza
Kumbuka hiyo ni nchi nyingine mkuu. wangeweza kutumia njia ya bahari hadi mombasa lakini huko kote ni KenyaWametumia njia ndefu sana wangeishushia mombasa kisha iende hadi Kisumu ni karibu wangetumia siku tano kwa gharama nafuu
Kisha Kisumu Mwanza